PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,207
- 1,233
Habarini za mihangaiko? Kazi ni kazi na popote kambi
Natanguliza dua za kumuombea m Tanzania mwenzetu Tundu Antpass Lissu Mungu amfanyie wepesi
Nahitaji msaada wa mikataba ya kwenye nyumba za kupanga naona hawa watu wanataka kunipanda kichwani kutokana na usumbufu wa
Kama utanisaidia kunitumia hata mfno wa page kadhaa in whatsapp nitashukuru
NB: Nyumba za kupanga ni biashara kama biashara nyingine
karibu ni wakuu kwa michango yenu .

- Kuchelewa kulipa kodi.
- Kila mtu kujiamulia anavyotaka mara atoe pesa ya umeme mara asitoe.
- Uharibifu wa thamani za nyumba mfano.rangi za ukuta, socket za umeme na wavu za madirisha.
- Kufungulia mziki kwa sauti ya juu nyakati za usiku na kuleta kero kwa wapangaji wengine
Kama utanisaidia kunitumia hata mfno wa page kadhaa in whatsapp nitashukuru
NB: Nyumba za kupanga ni biashara kama biashara nyingine
karibu ni wakuu kwa michango yenu .