ketete
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 792
- 798
Habari za wakati huu wana JF.
Kwanza niseme kuwa Mimi ni mdau wa BIMA ya afya NHIF,na nimekuwa kwa wakati tofauti tofauti tangu 2003 nikipokea matibabu kupitia BIMA hii.
Nawapongeza kwa mabadiriko ya kimatibabu kuanzia mlipoanza mpaka mlipofikia.
Ijapokuwa mabadiriko mmeyafanya katika uhudumiaji wa dawa na vifaa tiba LAKINI kwanini bado vipimo vingine kwa hospitali nyingi BIMA ya afya haitumiki?.
Mfano kipimo cha TYPHOD Mara nyingi na kwa hospitali nyingi za binafsi na umma huwa wanalipisha keshi na sio BIMA.
Kama kuna mabadiriko ya hivi karibuni pia wana jf mnaofahamu nijulisheni.
Naombeni ustaarabu wa kupata majibu na sio kashfa.