Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la ulinzi wa wananchi Tanzania limefanya mkutano na waandishi na kutoa tahadhari juu ya matangazo yanayodai kuna nafasi za kujiunga JKT au JWTZ. Amesema kuanzia leo mtu akimfuata...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Huyu ni modal wa Ujeruman maarufu kwa jina la Martina Big. alizaliwa mweupe amepitia mabadiliko kadhaa na kwa sasa amejibadilisha kuwa mweusi na anajifeal kuwa black person tho black wengi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
MAJERUHI watano walionusurika kwenye ajali ya gari iliyopoteza maisha ya Watanzania 13 nchini Uganda mapema wiki hii wanarejea kesho. Majeruhi hao walihusika kwenye ajali ya gari iliyohusisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Ni ma-president ambao hawakwepeshi 2. Wanasema ukweli bila kupeti peti.. 3. Wanatamani mabadiliko ya ukweli na si ya sera/ politiksi na maandishi kama kipindi kile... 4. Wanauchungu na focus ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Abbas Kondo na Albeto Mandes wamehukumiwa kwenda jela miaka 22 kila moja kwa kosa la kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya cocaine na heroin. Washtakiwa hao ambao walitenda makosa...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
1. Fanya mambo yasiyokuhusu na puuza yakuhusuyo (lack plans) 2. Shawishi watu kwamba unaweza wakati wao wanaona huwezi na wewe unajua kwamba wanakuona huwezi (impersonation) 3. Elekeza watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msichana Neema Peter Assenga mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana tatizo la kupoteza fahamu anatafutwa na ndugu zake baada ya kutoweka nyumbani kwa muda wa wiki moja sasa. Dada yake Paulina Assenga...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Mapadre wote wa kanisa katoliki nchi nzima wameungana tangu mwaka 1998 kuniwekea vikwazo na kuhakikisha sifanikiwi. Na poandika hapa nikuwa pia wanapotosha elimu yangu kwa maslahi yao, mimi...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
KWA WALE TU WASIOAAMINI UWEPO WA MWENYEZI MUNGU WAJIFUNZE KWA LISSU Wadau wote wa JF ni matumani yangu hamjambo, Pamekuwa na mijadala humu ya baadhi yetu wanatia mashaka ya uwepo wa...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Wananchi katika Halmashauri ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoa wa Songwe wamelalamikia serikali kufunga barabara ya TAZARA kwa kutumia mataaluma na kunyunyizia kile kinachodaiwa kuwa ni sumu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka ya tisini kurudi nyuma nchi yetu ilitoza kodi katika baadhi ya mifugo. Lengo lilikuwa pamoja na mambo mengine ni kuboresha mazingira ya ufugaji kama kujenga majosho, mabwawa,chanjo nk...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimekutana na taarifa kwenye mtandao wa wikileaks kuhusu ofisi ya rais kufanya mkutano na kampuni ya udukuzi wa mitandao januari mwaka 2015. Hivi taarifa kama hizi huyu assange huwa anazitoa ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo mchana nimeshuhudia rais akiwakaribisha walioamia CCM. Ingawa nasikitika shughuli za kiserekali zikichanganywa na za kivyama huku wengine wakifungiwa kufanya shughuli kama hizo....This is...
14 Reactions
61 Replies
8K Views
Baada ya Mh. Rais John Pombe kukataza uagizwaji wa sukari kutoka nje ili sukari ya ndani ipate soko la uhakika na kuchochea ukuaji wa viwanda, leo nimeshangaa ninaenda nunua sukari naambiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wanaJF, Leo mida ya asubuhi nimekuwepo central kufuatilia namna ya kumdhamini mfanyakazi mwenzangu aliekamatwa Kwa kesi ya madai. Sasa nimepeleka barua ya kumdhamini toka Kwa Afisa...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Wadau, Leo Arusha Amiri jeshi Mkuu anawapa kamisheni wanajeshi zaidi ya 400! Kila mwaka si chini ya idadi hiyo wanakuwa Maafisa. Mshahara unapanda, wanapewa vikundi vya jeshi vya kuongoza...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi sio mnywaji wala mlevi wa pombe, hii ni kutokana na kuiona kero pombe kila ninapoonja huniletea matatizo, kama vile kichwa kuuma, kutapika na pombe kuchelewa kutoka mpaka siku inayofuata na...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Kulikua hakuna pressure kazi tulikuwa tunapiga, zilikuwa ni pesa halali na sio za madili kama wengi wabavyodai, ajira zilikuwa zinazaliwa kila mwezi, vijana kutoka shamba tulikuwa tunaajiri sana...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasichana wanaojiuza jijini Arusha, wanalazimika kutafuta madarasa ya kujifunza kimombo kwakuwa ni lulu katika maisha ya kazi yao hiyo. Ni kwasababu wale wanaojua Kiingereza hupata wateja wa...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Back
Top Bottom