Bei ya sukari yapanda mtaani

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,732
Baada ya Mh. Rais John Pombe kukataza uagizwaji wa sukari kutoka nje ili sukari ya ndani ipate soko la uhakika na kuchochea ukuaji wa viwanda, leo nimeshangaa ninaenda nunua sukari naambiwa imepanda toka 2000-2200 kwa kg.
Jambo la kushangaza ni juzi tu nilisikia serikali imetoa bei elekezi ya kwamba sukari itauzwa kwa bei ya 1800 badala ya 2000 ikiwa kuna punguzo la tshs 200, kumbe badala ya kupungia imepanda kwa tshs 200.
Ninachoona hapa kuna watu wanafanya juhudi kwa makusudi kumuangusha raisi ionekani maamuzi yake hayakuwa sahihi.
Asipoangalia kuna wahujumu uchumi watakao hold sukari makusudi ili iwe bidhaa adimu na izidi kupanda bei
 
Kuna member humu alibaini mapungufu kuwa bei imetangazwa kushushwa kwa retailers bila kushushwa kwa wholesalers, nadhani mamlaka ya sukari imekusikia japo sina hakika kama wamesambaa nchi nzima
 
Bei ya Uganda Shs kwa sasa?
Maana huyu JAMAA yetu anatutajia bei ya Uganda. Kumbe Mganda kyaka!
 
Back
Top Bottom