Sikutegemea kabisa kama hii ndo sifa kuu ya watz, kwa sasa. Hivi ni kwanin imekuwa hivi? Uoga, kutojiamini, kutojikubali, kutokuwa na misimamo.
Hivi ongezea zingne maana sio Tanzania ninayoijua...
IMEELEZWA kuwa moyo wa huruma ni moja ya sababu nne zinazofanya idadi ya wanawake waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa waliopo katika magereza nchini kuwa ndogo kuliko wanaume.
Kati ya...
Mkuu wa wilaya Busega akiwa amesimama katika picha,akiongea jambo wakati wa uzinduzi wa album AICT Mkula.
Mkuu wa wilaya ya Busega DC. Tano S mwera amehudhuria uzinduzi wa album kwaya ya AICT...
Kuna mtu alikuja ana shida nimsaidie million moja atarudisha baada ya siku 3, nilimuamini nikamwambia sina ila nitamtafutia.
Nikaipata kwa mtu nikampatia, ila sasa toka aseme anairudisha mpaka...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh10 milioni kila mmoja, watu watatu walioshtakiwa kwa kusafirisha wasichana 10 kutoka Tanzania kwenda...
Kwa wale waliomsikiliza Rais kwa Makini jana,baada ya kuomba mabango yasomwe kuna sauti zilisikika zikilalama. Ndipo Rais alipomuuliza RC Gambo "Wanasemaje?" Gambo akamwambia kilichosemwa. Rais...
Watanzania Tuendelee kuiiombea nchi yetu bila kuchoka kwani tukikata tamaa shetani ataendelea kutupiga. Haya yote yanayoendelea inaoonesha kuna mahali tumemkosea mwenyezi Mungu sio bure hivyo...
Siku chache baada ya gazeti hili kuripoti taarifa za wanawake wanne waliojeruhiwa kwa kuchomwa moto na wakazi wa Kijiji cha Mwamabondo, Kata ya Loya wilayani Uyui wakituhumiwa kumuua mganga wa...
Wadau naomba kuuliza, kama tulivyosikia hukumu ya mahakama ya rufaa ikimuachia huru Abdallah Zombe ambae alionekana kuwa hakuwa na hatia.
Je ataendea kuwa polisi?
Na kama ndio Je cheo chake...
Ndugu wanabodi hii siasa inayoendeshwa nchini ipo tofauti sana na mataifa mengine. Tumebahatika kuwa na siasa safi ila inadosari kama utaingia bila kuelewa. Ipo tofauti kwa kuwa tanzania hatuna...
Naomba anayejua livescore ambayo inaonyesha mechi za kibongo anitajie msimu uliopita nilikuwa natumia soka saiz haipo active
Kama kuna mtu anazijua nyingine tofaut na soka
Hii ndiyo changamoto waliyonayo viongozi wapya wa Afrika – J.K. Nyerere
Maono ya Mwalimu kwa Uongozi wa Awamu ya V
Mwalimu Nyerere alipata kusema katika kitabu cha Afrika Today and Tomorrow...
Habari Wana JF....Leo Katika pitapita yangu Katika Mtandao wa kijamii Instagram...nimekuta na KAULI ya mh.Nape Mb.wa jimbo la Mtama..
Mh.apost picha nakuandika KAULI **Wakinizingua Mara Paaap!!**...
Kuna taarifa nimeipata kuwa nitatekwa na kubadilishiwa Ubini wangu na kupewa ubini wa kiongozi mmoja Ikulu na nikikataa nitafunguliwa kesi ya kufungwa maisha. Nasikitika kusema kuwa mimi sio...
Nakuwekea sababu kadhaa kwanini mishahara ya wafanyakazi haijaongezwa hadi sasa.. pamoja na ahadi tele za wanasiasa.. na ukiukwaji wa sheria za utumishi na hadi leo...
1.TUCTA na CWT zimenunuliwa...
Wakuu siku hizi Tanzania si kama ya zamani. Leo hii ukimiliki chombo cha moto kama vile gari ama pikipiki imekuwa kero kubwa!
Inekuwa kama ni crime! Kila kona ni lazima utasimamishwa na Polisi...
Rejea kichwa cha Habari.veta songea 99% ya walimu wanavyeti feki na kuna baadhi hawakumaliza Hata form 4.
Nina uhakika maana nilifanya kazi hapo Karibu miaka mitatu.na nilishawadukua vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.