Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,449
- 10,788
Wadau,
Leo Arusha Amiri jeshi Mkuu anawapa kamisheni wanajeshi zaidi ya 400! Kila mwaka si chini ya idadi hiyo wanakuwa Maafisa.
Mshahara unapanda, wanapewa vikundi vya jeshi vya kuongoza, wanapewa nyota moja na kisha kupangiwa vituo vya kazi.
Je, kwa hatua hii, jeshi si linakuwa na maafisa wengi zaidi ya mahitaji? Je, bajeti ya nchi si inakuwa kubwa? Je, hii ni picha ya ukubwa wa jeshi letu ambalo linahitaji Maafisa wengi zaidi?
Nawatakia kazi njema Maluteni Usu wapya!
Karibuni kazini sasa!
Uzalendo kwanza.