Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Kitengo cha watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kimezindua mwongozo wa kutoa huduma kwa watoto wachanga wenye umri kuanzia siku 0 hadi 28. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba nielewesheni hapa kidogo. Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo wahanga wamekuwa wakipewa misaada mbalimbali pamoja na Michango kutoka kwa Magufuli. Ningependa...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Helloh wakubwa na wadogo natumaini mu wazima wa afya Mimi ni mtanzania halali wa taifa hili Ila kwa sasa sina kitambulisho chochote zaidi ya cheti cha kuzaliwa sasa nilikuwa naomba msaada ya...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Wadau,mimi ni mdau wa mambo ya Utafiti na nimekuwa nashirikiana kwa ukaribu na Taasisi mojawapo inayopewa fedha za Utafiti na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) Kijitonyama Dar es...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Waajiri 126 katika jiji la Arusha wanategemewa kufikishwa mahakamani mwezi ujao Oktoba mwaka huu kwa kosa la kukatisha michango ya wafanyakazi wao kwenye Shirika la Hifadhi ya Jamii mkoani Arusha...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Watumishi wengi huwa na vikwazo kuanzia ngazi ya chini hasa vitu vyenye mafanikio kama malipo Kwa mfano kuna hawa watu wa masijara yaani ni kero kwelikweli, unatuma barua yako kulikoni ifike...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu. Huo ugonjwa ni mkubwa mno , alipo mtanzania na mkenya hata kama ni marafiki kwanza hawaaminiani, na urafiki wao utaegemea maslahi basi. Sasa ukianza mjadala mkenya na mtanzania utacheka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wandugu , Naomba ushauri jaman kuna kibaka hapa mtaani(uswahilini) kwetu anasumbua sana kama mnavyojua uswahilini.kaniibia sana gheto kwangu kila siku huwa lazima apite aangalie cha kuiba Sasa...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwa nini wazungu waliijenga Dar kiholela wakati kwao miji yao ilikuwe well planned. Angalia New York with well arranged roads. Wazungu walitudharau sana.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirika la afya ulimwenguni (WHO) limeripoti kuwa matukio milioni 25 ya utoaji mimba kila mwaka duniani kote si salama. Kwa mujibu wa shirika hilo pamoja na taasisi moja nchini Marekani...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
“After I told my father that I’d made it to Europe, I wanted nothing more than to turn that lie into the truth. I found a smuggler and told him my story. He acted like he cared very much and...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
1. Hakuna gharama za Break Fast (yaani kifungua kinywa) 2. Hakuna bugudha ya kuwahi bafu (kwa wale wenzangu wanaokaa nyumba yenye bafu na choo kimoja) 3. Hakuna bugudha ya kuweka alarm. 4. Huna...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu? Hivi kwa watu, walio makazini au waajiriwa mnapokuwa mnafanya kazi kuna changamoto au mambo mengi magumu kukutana nayo haijalishi unakuwa katika shirika au kampuni binafsi ama...
3 Reactions
115 Replies
8K Views
Ninajivunia kuwa na kiongozi kama wewe. Lakini naogopa ninapoona umekaa kimya tena mara nyingine unahudhuria mialiko isiyofaa. Nini kinakusibu hata uogope kulikemea pepo pale magogoni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna kitu hakiko sawa kinaendelea Afrika mashariki Kenya hakuendeki Uganda kunafukuta, Tanzania tuko vizuri angalia mpaka mwisho kabla ya ku comment
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimeona kuna Tabia ya mtu kupost kitu ambacho kina mgusa mtu mmoja au ITIKADI ya mlengo furani. Hii naona si sawa hata kidogo na kama mnataka hivyo nendeni upande wa pili huko ili mjidai huko na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba nitoe ombi langu la dhati kwa muheshimiwa raisi, Sisi walimu tuliosomea masomo ya arts tupo mtaani tunahangaika, tunadhalilika, kwakukosa ajira, katika hali halisi asilimia kubwa tuliosoma...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapo watu katika safari ya maisha ambao wapo tayari kukusaidia kukua kimafanikio na kukuona wewe ukifanikiwa na pia wapo watu katika safari ya maisha ambao wao wapo tayari kukuona wewe ukikamwa na...
8 Reactions
18 Replies
4K Views
Habar wakuu polen na majumkum ya kujenga taifa, Wakuu naomba kuuliza na kujuzwa juu ya tamko la serakali kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii upande wa sekta binafsi kuhusu kujitoa iwapo utaacha...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Nimefikiria sn kuhusiana na usalama wa hili taifa letu nikaona hii Amani tuliyo nayo imetulevya kiasi sasa tunelewa hatujitambui na tunalala milango wazi Mali zetu za ndani hazina ulinzi tena...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…