MAHUBIRI KWA MATAJIRI

MAHUBIRI KWA MATAJIRI

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
766
Reaction score
1,532
ᴍᴀᴛᴀᴊɪʀɪ ᴡᴇɴɢɪ ʜᴀᴡᴀᴇɴᴅɪ ᴍᴀᴋᴀɴɪsᴀɴɪ ᴋᴡᴀ sᴀʙᴀʙᴜ ᴍᴀʜᴜʙɪʀɪ ɴᴀ ᴍᴀғᴜɴᴅɪsʜᴏ ᴍᴇɴɢɪ ʜᴀʏᴀᴡᴀʜᴜsᴜ. sᴀsᴀ ᴍᴀғᴜɴᴅɪsʜᴏ ʏᴏᴛᴇ ʏᴀɴᴀᴇʟᴇᴋᴇᴀ ᴋᴡᴇɴʏᴇ sʜɪᴅᴀ ᴢᴀ ᴋᴜʟᴀ ɴᴀ ᴋᴜᴠᴀᴀ, ᴋᴜsᴏᴍᴇsʜᴀ ᴡᴀᴛᴏᴛᴏ, ᴋᴜᴏᴍʙᴀ ɢᴀʀɪ, ᴋᴜᴘᴀᴛᴀ ᴍᴛᴀᴊɪ ɴᴀ ᴡᴀᴋᴀᴛɪ ʜɪᴢᴏ sɪʏᴏ sʜɪᴅᴀ ᴢᴀ ᴍᴀᴛᴀᴊɪʀɪ. ᴡᴀᴛᴜᴍɪsʜɪ ʙᴏʀᴀ ᴍᴊɪᴋɪᴛᴇ ᴋᴡᴇɴʏᴇ ᴍᴀғᴜɴᴅɪsʜᴏ ʏᴀ ᴡᴀᴛᴜ ᴋᴜᴍᴊᴜᴀ ᴍᴜɴɢᴜ ɴᴀ ᴋᴜᴡᴀᴘᴇʟᴇᴋᴀ ᴍʙɪɴɢᴜɴɪ, ʜᴀᴘᴏ ᴍᴀᴛᴀᴊɪʀɪ ᴡᴀᴛᴀᴋᴜᴊᴀ....🤸
 
Siku hizi watu wanaenda kwenye ibada ili wafanikiwe kwenye maisha yao hapa Duniani,
Wahubiri nao wamesha liona hilo,ukihubiri mafanikio ya hapa Duniani ndio unapata waumini wengi na sadaka zinaongezeka,

Ni issue ya Demand and Supply tu,
Maisha yamebadilika,dini zimekua kama biashara za watu.
 
Surely
 
Wengine pia hufuata muujiza. Kumbuka wapenda miujiza wengi ni wale wenye vipato duni.

Mfano:
Tajiri kwa kuwa anajimudu kiuchumi, akipata hata homa tu anakimbilia hospitalini kufanya checkup na hata akipatwa na gonjwa zito, anakuwa na pesa za kwenda kutibiwa popote duniani mfano India n.k.

Masikini akipatwa hata na homa, cha kwanza anajua karogwa, atapita kwa waganga wa kienyeji, na baada ya kushindikana kwa ugonjwa wake, anakimbilia kwa watoa muujiza ya uponyaji.

Hapo ndipo atanunuzwa madongo, maji n.k
 
Unashauri nini Mkuu?
 
Unashauri nini Mkuu?
Kwenye Biblia Kuna mstari unasema hivi, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Nashauri watu watafute maarifa ya kweli kumhusu Mungu. Na maarifa hayo asilimia kubwa yanapatikana kwa

1. Kusoma neno la Mungu mtu binafsi na siyo kutegemea tafsiri za watu.
 
Back
Top Bottom