Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

Kwamba kuna sayari 9

Mwaka 2006, pluto ilikuwa disqualified,

Ukweli kuna sayari 8 katika mzunguko wa jua, unaoambatana na sayari ya dunia

Na kuna mizunguko mingi ya jua ambayo sio ya mzunguko huu wa kwetu

Kiswahili kigumu. Explain better in english
 
pia wingi wa sentesi....Kaka Yangu ana mke,
ni ...kaka zangu wana wake


Ukisema kaka zangu wana wake inamanisha wana wake wengi wakati kaka zangu kila mmoja ana mke mmoja ndoa ya kikristu😬
 
Back
Top Bottom