Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,688
Reaction score
17,976
Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura.

Ni wakati wa mataifa kuona Tanzania inavyopiga hatua chini ya raisi,mh. Daktari Samia suluhu, ameitangaza Tanzania Africa na Dunia, aina yake ya uongozi imekua chachu ya maendeleo sio kwa Tanzania tuu bali kwa Africa nzima na Dunia kwa ujumla.

Heko kwa serikali yetu tukufu.
 
Back
Top Bottom