Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu heshima kwenu! Kwa wale watoto wa mjini tuu tulio jua taa za barabarani miaka ya 90... tulio kuwa tunapiga misele kwa kupanda gari la kazini bure. Watoto wa mesi... watoto wa mason club...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna kipindi maishani unafika mahali unachoka kuelezea watu unachopitia. Si kwa sababu huna cha kusema, bali kwa sababu umejaribu kueleweka mara nyingi bila mafanikio. Unaanza kucheka mbele za...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa...
4 Reactions
16 Replies
101 Views
Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuboresha eneo la utoaji wa taarifa, kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI. Walio soma science subjects...
3 Reactions
3 Replies
94 Views
Watu wengi hawalijui hili, Wa-Israel walikuwa ni mojawapo ya koo za Wakanaani tu. Kuna ushahidi wa DNA na historia/ archeology. Hata lugha ya kiebrania ni lugha ya Kikanaani. Washindi ndio...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
https://x.com/_zack255/status/2109188455766843658
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Anonymous
Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya...
1 Reactions
6 Replies
168 Views
Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari...
0 Reactions
2 Replies
35 Views
Haya hapa majina ya Sura zote 114 za Qur'ani Tukufu kwa Kiswahili pamoja na maana zake: Al-Fatiha – Ufunguzi Al-Baqarah – Ng'ombe Dume Al-Imran – Familia ya Imran An-Nisa – Wanawake Al-Ma'idah...
19 Reactions
273 Replies
2K Views
Ushindi wa Jihan miss grand international unaendelea kudhihirisha jinsi gani umoja wa rangi/races, makabila na dini ni faida zaidi kwa Tanzania. Kwa siku za hivi karibuni Tanzania haijawahi...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu...
3 Reactions
9 Replies
238 Views
Ni Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
5 Reactions
92 Replies
911 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amezitaka Halmashauri ya Jiji la Arusha na taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka kusafisha mitaro iliyoziba kwa taka na kuondoa vizuizi...
0 Reactions
5 Replies
89 Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
1. Saddam Hussein 2. Osama Bin Laden 3. Muamar Ghadafi Hawa watu walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watoto wadogo, watu wazima na wanawake. Wakiwashawishi wajitoe mhanga. Wafe kwa ajili yao...
6 Reactions
19 Replies
238 Views
ᴍᴀᴛᴀᴊɪʀɪ ᴡᴇɴɢɪ ʜᴀᴡᴀᴇɴᴅɪ ᴍᴀᴋᴀɴɪsᴀɴɪ ᴋᴡᴀ sᴀʙᴀʙᴜ ᴍᴀʜᴜʙɪʀɪ ɴᴀ ᴍᴀғᴜɴᴅɪsʜᴏ ᴍᴇɴɢɪ ʜᴀʏᴀᴡᴀʜᴜsᴜ. sᴀsᴀ ᴍᴀғᴜɴᴅɪsʜᴏ ʏᴏᴛᴇ ʏᴀɴᴀᴇʟᴇᴋᴇᴀ ᴋᴡᴇɴʏᴇ sʜɪᴅᴀ ᴢᴀ ᴋᴜʟᴀ ɴᴀ ᴋᴜᴠᴀᴀ, ᴋᴜsᴏᴍᴇsʜᴀ ᴡᴀᴛᴏᴛᴏ, ᴋᴜᴏᴍʙᴀ ɢᴀʀɪ, ᴋᴜᴘᴀᴛᴀ ᴍᴛᴀᴊɪ ɴᴀ...
4 Reactions
9 Replies
83 Views
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Back
Top Bottom