Duniani kote vyuo vikuu ni chanzo cha kuzalisha wataalamu wa sekta mbali mbali na kufanya tafiti za kutatua matatizo yanayoikumba jamii husika. Hapa nchini kumekuwa na wimbi la uanzishwaji wa vyuo...
Sisi binadamu wa duniani tukipitia mateso masimango na dhiki ya hali ya juu basi kujitoa roho ni kitu cha kawaida sana
Ila tukishapata mali na pesa nyingi hulka zetu hubadilika tunasahau kila...
Watangazaji wa kipindi cha Morning Magic cha Magic FM; OLES KAWAWA sijui KAWAO, KIBWANA DACHI , SALIM MKAMBALA NA MARY EDWARD ni WANAFIKI WAKUBWA. Kama hawako tayari kusikiliza serikali...
Utaratibu Wa kuendelea kukamata pikipiki kisa fire extinguisher naona kama nikupoteza mda tu, kitu kama Boda Boda hata kikishika moto mtu anaouwezo Wa kukigalagaza kwenye mchanga kikazima...
Kwa utafiti usio rasmi...
Matamanio makubwa ya vijana wengi wa chuo hasa wa mwaka wa mwisho huwa ni kupata ajira ya pesa nyingi au kujiajili na kujipatia pesa nzuri za kuendesha maisha yake.
Kwa...
Habari wanaJF!!
Mimi binafsi huwa nakunywa energy drink (brand yoyote ile) baada tu ya kumaliza kula chakula cha usiku, then baada ya hapo naingia chimbo kupiga msuli wa nguvu (nasoma sana) hadi...
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unamkumbuka Ndg
Oscar Kambona
??
[04/10 8:59 pm] andrewbudohya: Je unajua ukimuondoa Nyerere.. Kambona ndio mtanzania number mbili ambae alikua ana ushawish...
Pengine atakuwa Raisi wakwanza kusema haya hadharani naomba nimpongeze sana MH RASI
Kiukweli anayofanya atuna budi kumuunga mkono kwa nia njema kabisa
Nimwombe baada ya kusema hayo kua...
Kichwa cha habari kimejitosheleza,
Bila kupoteza muda mwenye idea mpya.Tunawezaje kutoka hapa tulipo kwa maana vyuma vyote vimekaza.
Serikalini kumebana.Mara posho hamna mara safari hamna huku...
Salaaam.
Wakuu siku hizi mtandao wa Youtube naona kama wamekuwa matapeli. Utakuta kichwa cha habari kuhusu video unayotarajia kuitazama inasema vingine na unachokikuta kisha ukakitazama ni kingine...
Habari wana jf
Nauliza ni vipi vigezo vya shindano la vipaji vya sauti in starswahili
Lafudhi inayotakiwa ni ya pwani tu au hata ya chatoooo
Na kwanin wahusika wengi ni wa Zanzibar vipi kuhusu...
Naomba msaada wakuu namna ya kuipata star tv katika king'amuzi cha azam maana siipati kabisa licha ya kujaribu mautundu mbalimbali na kuwapigia hawapokei. Mwenye utaalamu tafadhali.
Dar es Salaam. Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco) imesema bomoabomoa ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya reli (mita 30 kila upande) iko palepale tofauti na ilivyoelezwa kwamba kwenye...
Morogoro. Kiwanda cha sukari Mtibwa kilichopo wilayani Mvomero kimedaiwa kuwafukuza kazi wafanyakazi saba kwa kuwalazimisha kuandika barua za kuacha kazi wakiwa chini ya ulinzi wa polisi...
hapa namuona ITV Kamishna mkuu wa kodi akitembelea kiwanda cha mafuta kikubwa MOUNT MERU MILLERS, na anasema atatembelea viwanda vingine kama alivyoahidi kwenye kikao nao.
Anaangalia uzalishaji na...