Habari wandugu!
Leo sina maneno mengi ila ninapenda kujua tu. Hivi sukari ya kwenye muwa inatokana na nini au inatoka wapi?
(Today I just want to know how sugarcane has sugar and not other...
Kwenu wanaume wenzangu wake tulionao kwa sasa imeshindikana kabisa kutekeleza majukumu yao ya msingi.kuanzia kuamka asubuhi mpaka jua kuzama .wanawake wetu hawahusiki kabisa kusimamia nyumba kama...
Rais unatakiwa kupima uzalishaji wa wafanyakazi wako baada ya kuwapa motisha na siyo kabla. mtu hawezi akafanya kazi vizuri akiwa haelewi familia itakula nini. Tegemea uzalishaji kushuka zaidi na...
Kuna msemo usemao maisha ni safali ndefu sana na katika maisha kuna wakati huwa unafika kuna tabia au mambo ambayo umeamua kuachana nayo baada ya kugundua hayana faida kwako.
Mimi upande wangu...
Moja kwa moja kwenye issue
Nimefuatilia kwa muda kiasi nimegundua kwamba Jerry Murro ni kijana smart uchwara hivi.ametafuta kona ya kupatia umaarufu akagundua ikiwa ataamzisha makelele na...
Sharifu ni jina la vikundi vya vijana wanaotarajiwa kumwagwa na jiji la Mwanza mitaani kwa lengo la kuwapiga faini ya wale wote watakao bainika kuchafua mazingira. Uwe umetupa taka hovyo ama...
Kumekuwepo na watu ambao wao kila jambo linalofanywa na upande mwingine kwao siyo jema(nyumbu hao)
Rais ameamua kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri wao wanaona amekosea wakati mpaka...
Ni takriban wiki nimekula BAN la nguvu kwa mjadala uliokuwa unamhusu Mh. Tundu Lissu. Mimi kama kijana mwenzenu, nashukuru kwa kurudishwa tena jukwaani na kuomba msamaha kwa lile lililotokea...
Siku hizi haisikiki tena, hata wale wanaopiga siku kukushawishi ujiunge hawapo tena! Hizi huduma ziliwaumiza wengi, kuna baadhi wamezikimbia laini kwa riba ndefu yenye adhabu na wengine...
1. Uchumi wa nchi umedidimia ingawaje mapato ya serikali yameongezeka. Tumeona biashara nyingi zimedidimia na zingine kufa kabisa kwenye utawala huu wamakufuli. Matokeo yake wafanyakazi...
Kuna wakati tulikuwa wengi, wengine wakabadilika, wengine wakachoka na wengine wakakata tamaa wakaacha.
Tulijenga hoja pamoja, tulijadili kwa hoja, tuliikosoa serikali na hata vyama vya siasa kwa...
Nikiwa mmoja wa Wadau na Watumiaji wa huduma za Mitandao ya Simu za Mikononi haswa upande wa DATA, ninasikitishwa na HUDUMA MBAYA au zilizo CHINI YA KIWANGO nnazopata kwa sasa nikilinganisha na...
JE HIZI CLUBS na nyinginezo za kijinsia mfano wake kimantiki ZIMESHIRIKI KUJENGA MAADILI MEMA KATIKA JAMII ZETU AU ZIMEZIDI KUBOMOAA...?
Mimi kwa upande wangu...zimeshiriki kubomoa maadili ya...
Dar es Salaam. Watu watano wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wameuawa katika eneo la Toangoma jijini Dar es Salaam, katika majibizano ya risasi na Polisi yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa...
Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari?
Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa?
Habari,
Ajali imetokea Kata na tarafa ya Kate, Wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa.
Ajali hiyo ilitokea baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 425 BFF aina ya Fuso mali ya Bakari Kessy...
Hebu wataalamu mtusaidie kwanini jamii ya minazi inapenda kuota pembezoni mwa fukwe za bahari au kwenye ziwa maana kila nikiangalia fukwe nyingi zimetawaliwa na minazi
April 21 2014
Mtangazaji wa Radio One Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa
georgia-mugshot-search.com
umethibitisha taarifa hizo, huku...
Habari ya muda huu wanajamvi?
Poleni kwa shughuli na mihangaiko ya kila siku.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada kwa kuanza na maelezo machache.
Kanisa Katoliki lina utaratibu wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.