Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Hebu wataalamu mtusaidie kwanini jamii ya minazi inapenda kuota pembezoni mwa fukwe za bahari au kwenye ziwa maana kila nikiangalia fukwe nyingi zimetawaliwa na minazi
Kwasababu haipendelei kuota mlimaniHebu wataalamu mtusaidie kwanini jamii ya minazi inapenda kuota pembezoni mwa fukwe za bahari au kwenye ziwa maana kila nikiangalia fukwe nyingi zimetawaliwa na minazi
Nazi za minazi ilioko ufukweni zikianguka baharini husombwa na mawimbi na kukwama kwenye fukwe nyingine na kuota huko.Hebu wataalamu mtusaidie kwanini jamii ya minazi inapenda kuota pembezoni mwa fukwe za bahari au kwenye ziwa maana kila nikiangalia fukwe nyingi zimetawaliwa na minazi
Kweli zitasambaa pwani kwani ndio safari ya mwisho ya mbegu hizo.S.name ...Cocos nicifera.common name..Covonut..
Origin...Asia and far east...
Ziliwasili ufukwe WA Africa mashariki karine kazaa zilizopita...
Zilikuja kwa njia ya bahari..I. e zilielea kwa mdamrefu hadi zikafika ufukweni...zikapata mazingira yakuota.....nakusambaa maeneo mbalimbali...
Hivyo basi hazina budi kuendelea ksambaa pwani zaidi kuliko Bara. .