Kwanza nimejifunza matukio mengine huwa ni ya muda mfupi tu, ila kwa jina la siasa na malalamiko unaweza kuaminishwa yapo siku zote. Ghafla ugali ulibadilika kuwa anasa na wali kuwa ni kitu cha...
Nilikuwa natazama taarifa ya habari kupitia station (kituo) cha Runinga cha televisheni yaTabibu, walikuwa wanazungumzia taarifa za michezo wakati huohuo wakipitisha matangazo ya chini Runinga...
Mzuqa
Stephen Shayo 34 mtanzania raia wa Uingereza Na mwanajeshi kafutiwa mashtaka ya ubakaji baada ya kusingiziwa Na binti wa kiingereza.
Inasemekana walikutana club Na huyo mwanamama kalewa...
Mumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani.
Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi
Tuliwadharau sana...
Awe Imamu wa msikiti au Mchungaji wa kanisa, Askofu, Padre awe Nabii au Mtume ambaye waziwazi hataonja mateso wanayopitia watu wake au hatakemea uovu unaotamalaki katika taifa, huyo hafai. Na...
○ Watumiaji vyombo vya moto hawana elimu
○ Usimamizi wa sheria za barabarani duni
○ Raia ni wakaidi tu
○ au ni nini?
Nadhani ni muhimu sasa isione kwamba ni jambo la kushadadia fine...
Kati ya mambo yaliyoiharibia ccm,na magufuli!,
ni jambo la Rais kutamka hadharani kuwa,Hataongeza mshahara.
swala hili limeondoa IMANI yooote!ya wafanyakazi kwa serikali na chama tawala kwa...
Wadau Hii kampuni inayoendesha mradi Wa basi kwa njia ya haraka inaelekea kufilisika au kuna a tatizo gani!?
Wakati nakata tiketi namsikia muhudumu akiongea na mlinzi kuhusu kutolipwa mishahara...
Nimefuatilia press comference ya Rais Dr Magufuli na waandishi wakati anatangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri mpaka mwisho lakini wanahabari waliopewa nafasi ya kuuliza swali ikaonekana hakuna...
Mdogo wangu wa kiume Jumamosi ijayo anakwenda ukweni kuanza utaratibu wa posa, mahali na ndoa. Rafiki yake wa kike ni mchaga-mrombo na mdogo wangu anatokea mikoa ya nyanda za juu.
Vipi mahali...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknorojia na ufundi stadi Prof.Simon Msanjila amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Geita mwl Herman Kapufi kuunda kamati ya uchunguzi ifuatilie...
Leo siku ya tarehe 10th October, 2013 ni siku ambayo shirikia na Afya Duniani WHO na idara zake, Serikali mbalimbali zilizoridhia mkataba wa Afya Bora Dunia pamoja na taasisi mbalimbali za Afya...
Gari ilikuwa imepakiza watoto wa madrasa lakini nilipofika maeneo ya kivuko cha kwaminchi, gari ikazima katikati ya reli.
Dereva alifanikiwa kuwaambia watoto waruke hivyo kufanikiwa kuwa okoa...
Habari za jumapili wadau;
Naomba kuwaeleza ufahari Wa Busha.
Wakati wenye Busha siku hizi wakipuuzwa na kuonekana kama ni ugonjwa;
Historian inaonesha kwamba Enzi za mababu zetu, watu...
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa, shughuli nyingi ambazo ni za maofisini hitaji kubwa la mazoezi limejitokeza.
natamani kabisa kuona siku moja viwanja na maeneo ya wazi...
Ofisa Ufuatiliaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wilayani Biharamulo, Gerald Adolf amewataka wanufaika wa fedha za ruzuku zinazotolewa na mfuko huo kuepuka majungu kutoka kwa wasiowatakia...
Watu wawili wamefariki dunia na mwingine mmoja kujijeruhi baada ya kutokea ugomvi unaohusishwa na wivu wa mapenzi mjni Bunda.
Tukio hilo lilitokea jana saa tano asubuhi katika Mtaa wa Bunda Stoo...
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amefunguka na...
Jeshi la polisi mkoani Mtwara linawashikilia watu 17 kwa kujihusisha na makosa ya ubakaji huku pia likiwasaka wengine zaidi ya 80 kwa tuhuma hizo na kuwapa mimba watoto wadogo
Kamanda wa Polisi...
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 11 wakazi wa wilaya ya Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kumkata mkono wa kushoto Nassoro Msingili(75) mkazi ya kijiji cha Nyarutanga na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.