Msemo wa Nyumbu na maisha halisi ya watu.

Msemo wa Nyumbu na maisha halisi ya watu.

kuz

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
51
Reaction score
58
Kumekuwepo na watu ambao wao kila jambo linalofanywa na upande mwingine kwao siyo jema(nyumbu hao)

Rais ameamua kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri wao wanaona amekosea wakati mpaka kiongozi wao Mkuu amepongeza(Nyumbu hao)

Kadnari Pengo kaamua kufafanua kauli ya askofu wa Rulenge kuwa ni kauli binafsi siyo msimamo wa kanisa ameonekana ni mjinga,anazeeka vibaya,amepitwa na wakati,anajipendekeza (nyumbu hao)

Kaka yake Lisu kaamua kutoa kauli yake na msimamo wa familia juu ya ufuatiliaji wa jambo la mdogo wake naye wanamtukana wakati ndo mwanafamilia(nyumbu hao)

Jery Muro kazalilishwa na mh fulani yeye kujibu mapigo wametokwa mapovu ya sabuni ambayo kiwanda chake hakijulikani maana povu jingi mno(nyumbu hao)

Hivi hawa binadamu wenye tabia za nyumbu ni lini watatuonyesha mambo mazuri ili jamii tuwaamini,zaidi ya kudandia vitu ambavyo havina maana kwa jamii?

Ni lini watakuwa na uvumilivu wa kisiasa maana ndo nguzo kuu?
Sasa Ninyi binadamu wenye tabia za nyumbu nami najua mtanitolea mapovu lkn niwaambie kuwa,huu ni wajati wa kufanya kazi na mkumbuke kuwa matatizo yenu ni yenu siyo ya watu wengine!!!
 
Back
Top Bottom