Muwa sukari inatoka wapi ( Sugarcane how sugar comes out)?

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,032
Habari wandugu!

Leo sina maneno mengi ila ninapenda kujua tu. Hivi sukari ya kwenye muwa inatokana na nini au inatoka wapi?

(Today I just want to know how sugarcane has sugar and not other plants?)

Ninawasilisha.
 
Ni ina maelezo mengi kidogo ambayo siwezi nikayaandika yote hapa maana sio kitu cha dk chache lakini ngoja tu nikupe mwanga na ukiwa na changamoto utaniuliza

Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa Muwa hadi kuwa sukari unapitia process kubwa tano.
1. Juice extraction - hii ni njia ya kuondoa Ile juisi ya muwa katika fibers na machine inayotumika hapa ni mill

2. Juice purification - hii inahusisha separation of suspended matter katika juisi na hapa tunatumia mashine inayoitwa clarifier

3. Juice concentration - hii ni njia ya kutenganisha maji yaliyopo kwenye njia Juisi ya miwa Kwa njia ya mvuke na hapa kuna mashine inaitwa evaporator.

4. Juice crystallization - hii inatenganisha sukari kutoka kwenye kile kimiminika cha miwa Kwa kusaidiwa na kifaa au machine inayoitwa vacuum pan na crystallizers

5. Crystal separation - zile sugar crystals zinatenganishwa kutoka kwenye kitu kinaitwa molases kwa kutumia centrifugal.

Sasa katika kupata hiyo sukari muwa baada ya kuvunwa mashambani unapitia katika mashine nyingi na process za juu zikovoelezwa hapo ndio zinafanyika katika hizi mashine

Kuna kitu kinaitwa shredder hiki ni kiwi cha kukatakata muwa baada ya kutoka kwenye Crain, sasa shredded cane inakua inavichenga ambavyo hutok Kwa kuruka au kutofata njia ya milling plant na hivi tunaviita bagasse na Ile inayopita kwenye milling plant inatoka ikiwa juisi iliyochanganyka yaani mixed juisi inaingia kwenye mashine iitwayo MIxed juice heaters kwaajili ya kuchemshwa pia ile iliyotoka Kwa mfumo wa baggase inaenda moja Kwa moja kwenye boilers na hii boiler inakua inakitu kinaingiza kimiminika ambazo tunaita boiler feed water na hii ni kwaajili ya kuzalisha umeme kiwandani mana huu wa tanesco hua unatumika kama ku initiate (hii husaidia kuepuka gharama Za uzalishaji katka nishati Kwa kiasi kikubwa sana) maana baada ya kutoka kwenye boiler inatenegeza steam NA Inasafirihswa mpka kwenye power station ili iende ikasakishwe nguvu ya steam katika HEATER ya juisi yetu ya miwa inayoitwa (clear juice heater ) na nyingine inapelekwa Kwa multiple effect evaporator.
Sasa tukirejea katika process iliyoishia kwenye mashine iitwayo mixed juisi heaters ambayo imebeba pure juisi bila baggase pale kuna outlets mbili za kutolea mivuke (hii mivuke inaenda kuingia kwnye multiple effect evaporator ) baada ya kutoka kwenye mixed juice heaters inaingia kwenye mashine iitwayo clarifier (nitakuja elezea kiundani kila mashine na components za kila mashine na sababu kwann ipitie hapo) na inapita Kwa clarifier ili iweze kusafishwa baadhi ya uchafu na iweze kupatikana clear juice ili iingizwe kwenye mashine iitwayo clear juice heater pale inapigwa heat ya nyuzi 150C NDIPO inakuaja kuungana na mivuke iliyotoka kupitia outlets za mixed juice heaters (nitaeleza kwanini hapo mbeleni),

Sikuelezea Ile steam inayotoka kwenye boilers na kuja katika power station inaelekezwa wapi hapa katika power station ina tengeneza exhaust steam ndipo inagawanywa katika clear juice heater na nyingine inapelekwa katika multiple effect evaporator.

Sasa, Ile clear juice ikishapita kutokea kwenye mashine ya clear juice heater kuja kwenye multiple evaporator (pia hapa kuna outlets mbili za kutoa mvuke ) ambao zinapeleka katika inlets za vacuum pans (hii tunatumia mvuke ili tusipoteze sukari yetu ndio maana tunatumia mvuke badala ya mvuke wa maji ya kawaida), na ndiyo sasa Ile juice kutoka kwenye multiple effect evaporator inakua katika mfumo tunaouitta SYrup ambapo mvuke pamoja ya syrup vinaingia kwenye tank ambalo hua tunaita vacuum pans na pale juice inatoka tunaiita MASSECUITE na hapa juice inakua inasukari balaa na ni nzito maana maji mengi yanakua ymaeondolewa Kwa njia ya evaporation huko nyuma.
Baada ya hapo ule uji uji unapita kwenye CRYSTALLISERS na badae unaingia katika CENTRIFUGALS (hizi zimekaa mfumo kama centrifugal pumps) na baada ya hapo inatoka SUKARI MBICHI (ikiwa na ubichi ubichi) ambayo kitaalamu tunaita WET SUGAR , na pia katika centrifugals tunatoa molasses (hii Mara nyingi makampuni hununua kutengenezea pombe) sisi tunakua interested na ile WET SUGAR (wakati huo molasses tumeisha iondoa kwenye systems) ndipo Ile WET SUGAR inapitishwa kwenye mashine iitwayo SUGAR DRIER na hapo tunaitoa raw sugar (sukari yenyewe) na katika kiwanda zimetengenezwa crains ki machenical zaidi kuchukua hiyo raw sugar na kuipeleka mwenye PACKING STATION

itaendelea
Nitafafanua mashine moja baada ya nyingine kiundani kuanzia components ,how it works , reasons na kila kitu katika somo linaloenedelea
MWISHO, hii ni brief tu utengenezaji wa sukari
 
Nadhani terminologies nyingi wale chemical and processing engineers mliko katika sector za viwanda tunaelewana vilivyo
 
Wewe Ze Observer elewa swali kwanza ndio ujibu,mleta uzi anauliza Sukari ya kwenye muwa inatokana na nini/inatoka wapi.

Basi sawaaaaa, nilisoma haraka Lakini sio mbaya elimu pia ya uzalishaji wa sukari mkaipata.

Ila pia reasons ni ndogo sana juu ya sukari inatokanaje kwenye muwa. Kuna wataalamu agronomists hili wanalieleza kimapana zaidi na mpaka kila mtu anaelewa
 
Wewe Ze Observer elewa swali kwanza ndio ujibu,mleta uzi anauliza Sukari ya kwenye muwa inatokana na nini/inatoka wapi.
Jamaa maelezo mengiiii....kama ni paper tunasema kaingia kwenye michongoma!
 
Je hakuna chemicals zinazoongezwa kwenye hizo process zote?
Kama hakuna,je kwa nini watalamu wa lishe husema juice ya miwa ni bora kuliko soda ijapo mimi naona tatizo kama ni sukari hata ikiwa kwenye juice ya miwa bado ni tatizo
 
Maswali mengine hayana maana.

Mwisho utauliza utam wa dushe na k unatokana na nini?
 
Mkuu ingia YouTube andika (how its made sugar) utaona process yote mwanzo Mwisho.
 
Jamaa maelezo mengiiii....kama ni paper tunasema kaingia kwenye michongoma!
kaka kama uliweza chukua historia ni sawa tu na mtoa jibu alivyoeleza, kwani unaulizwa mwanamtapa alikufa lini unaanza kuelezea tangu alivyozaliwa africa kusini mpaka mwaka aliokufa zimbabwe, hivyo naona mtoa jibu yupo sawa tu
 
Ni ina maelezo mengi kidogo ambayo siwezi nikayaandika yote hapa maana sio kitu cha dk chache lakini ngoja tu nikupe mwanga na ukiwa na changamoto utaniuliza

Kwanza kabisa inatakiwa ujue kuwa Muwa hadi kuwa sukari unapitia process kubwa tano.
1. Juice extraction - hii ni njia ya kuondoa Ile juisi ya muwa katika fibers na machine inayotumika hapa ni mill

2. Juice purification - hii inahusisha separation of suspended matter katika juisi na hapa tunatumia mashine inayoitwa clarifier

3. Juice concentration - hii ni njia ya kutenganisha maji yaliyopo kwenye njia Juisi ya miwa Kwa njia ya mvuke na hapa kuna mashine inaitwa evaporator.

4. Juice crystallization - hii inatenganisha sukari kutoka kwenye kile kimiminika cha miwa Kwa kusaidiwa na kifaa au machine inayoitwa vacuum pan na crystallizers

5. Crystal separation - zile sugar crystals zinatenganishwa kutoka kwenye kitu kinaitwa molases kwa kutumia centrifugal.

Sasa katika kupata hiyo sukari muwa baada ya kuvunwa mashambani unapitia katika mashine nyingi na process za juu zikovoelezwa hapo ndio zinafanyika katika hizi mashine

Kuna kitu kinaitwa shredder hiki ni kiwi cha kukatakata muwa baada ya kutoka kwenye Crain, sasa shredded cane inakua inavichenga ambavyo hutok Kwa kuruka au kutofata njia ya milling plant na hivi tunaviita bagasse na Ile inayopita kwenye milling plant inatoka ikiwa juisi iliyochanganyka yaani mixed juisi inaingia kwenye mashine iitwayo MIxed juice heaters kwaajili ya kuchemshwa pia ile iliyotoka Kwa mfumo wa baggase inaenda moja Kwa moja kwenye boilers na hii boiler inakua inakitu kinaingiza kimiminika ambazo tunaita boiler feed water na hii ni kwaajili ya kuzalisha umeme kiwandani mana huu wa tanesco hua unatumika kama ku initiate (hii husaidia kuepuka gharama Za uzalishaji katka nishati Kwa kiasi kikubwa sana) maana baada ya kutoka kwenye boiler inatenegeza steam NA Inasafirihswa mpka kwenye power station ili iende ikasakishwe nguvu ya steam katika HEATER ya juisi yetu ya miwa inayoitwa (clear juice heater ) na nyingine inapelekwa Kwa multiple effect evaporator.
Sasa tukirejea katika process iliyoishia kwenye mashine iitwayo mixed juisi heaters ambayo imebeba pure juisi bila baggase pale kuna outlets mbili za kutolea mivuke (hii mivuke inaenda kuingia kwnye multiple effect evaporator ) baada ya kutoka kwenye mixed juice heaters inaingia kwenye mashine iitwayo clarifier (nitakuja elezea kiundani kila mashine na components za kila mashine na sababu kwann ipitie hapo) na inapita Kwa clarifier ili iweze kusafishwa baadhi ya uchafu na iweze kupatikana clear juice ili iingizwe kwenye mashine iitwayo clear juice heater pale inapigwa heat ya nyuzi 150C NDIPO inakuaja kuungana na mivuke iliyotoka kupitia outlets za mixed juice heaters (nitaeleza kwanini hapo mbeleni),

Sikuelezea Ile steam inayotoka kwenye boilers na kuja katika power station inaelekezwa wapi hapa katika power station ina tengeneza exhaust steam ndipo inagawanywa katika clear juice heater na nyingine inapelekwa katika multiple effect evaporator.

Sasa, Ile clear juice ikishapita kutokea kwenye mashine ya clear juice heater kuja kwenye multiple evaporator (pia hapa kuna outlets mbili za kutoa mvuke ) ambao zinapeleka katika inlets za vacuum pans (hii tunatumia mvuke ili tusipoteze sukari yetu ndio maana tunatumia mvuke badala ya mvuke wa maji ya kawaida), na ndiyo sasa Ile juice kutoka kwenye multiple effect evaporator inakua katika mfumo tunaouitta SYrup ambapo mvuke pamoja ya syrup vinaingia kwenye tank ambalo hua tunaita vacuum pans na pale juice inatoka tunaiita MASSECUITE na hapa juice inakua inasukari balaa na ni nzito maana maji mengi yanakua ymaeondolewa Kwa njia ya evaporation huko nyuma.
Baada ya hapo ule uji uji unapita kwenye CRYSTALLISERS na badae unaingia katika CENTRIFUGALS (hizi zimekaa mfumo kama centrifugal pumps) na baada ya hapo inatoka SUKARI MBICHI (ikiwa na ubichi ubichi) ambayo kitaalamu tunaita WET SUGAR , na pia katika centrifugals tunatoa molasses (hii Mara nyingi makampuni hununua kutengenezea pombe) sisi tunakua interested na ile WET SUGAR (wakati huo molasses tumeisha iondoa kwenye systems) ndipo Ile WET SUGAR inapitishwa kwenye mashine iitwayo SUGAR DRIER na hapo tunaitoa raw sugar (sukari yenyewe) na katika kiwanda zimetengenezwa crains ki machenical zaidi kuchukua hiyo raw sugar na kuipeleka mwenye PACKING STATION

itaendelea
Nitafafanua mashine moja baada ya nyingine kiundani kuanzia components ,how it works , reasons na kila kitu katika somo linaloenedelea
MWISHO, hii ni brief tu utengenezaji wa sukari
Ze observer umenifanya nicheke sana.
Sasa nimeelewa kwanini watu wengi ufeli paper kisha baadaye unakuta wanalalamika ooh ile paper niliandika sana [emoji23] [emoji23]

Licha ya maelezo mazuri ya uzalishaji sukari uliyotoa bado hukujibu swali lililokuwa limeulizwa. Pole sana. Enzi hizo tulikuwa tunasema, umeamua kujitungia swali.
 
Je hakuna chemicals zinazoongezwa kwenye hizo process zote?
Kama hakuna,je kwa nini watalamu wa lishe husema juice ya miwa ni bora kuliko soda ijapo mimi naona tatizo kama ni sukari hata ikiwa kwenye juice ya miwa bado ni tatizo
Juice ya miwa ni bora kwa lishe kuliko soda. Hilo liko sahii. Soda uzalishwa kwa kutumia mchanganyiko wa kemikali za kuzalisha soda. Miwa yenyewe inayo juice ya asili (sucrose) ambayo uzuri wake unatokana na ukweli kuwa haitengenezwi kwa kemikali ambazo zinaweza kuwa na side effects. Ndio maana unashauriwa na wataalam wa lishe kuwalisha watoto juice za kutengeneza wenyewe kwa matunda (fructose) au miwa (sucrose) na si kuwajaza na soda au juice za boxes ambazo si natural.
 
Hata kama mr observer kajibu OP lakini nimejifunza kitu... Thanks
 
Wewe Ze Observer elewa swali kwanza ndio ujibu,mleta uzi anauliza Sukari ya kwenye muwa inatokana na nini/inatoka wapi.

Sawa kabisa, swali ni kuwa sukari iliyomo ndani ya muwa inatokana na nini , sio sukari iliyozalishwa kutokana na muwa !!!! Ndio maana hatukawii kulalamika "swali nimejibu sahihi ila teacher kanikosesha" !!!!
 
Mkimaliza muwa usihahau kuuliza na PILIPILI kule kuwasha kunatoka wapi?ukipanda mbegu nn kinatokea hadi kuja kuota tena,, Vitu vingine ni MUNGU mwenyewe UWEZO wake..sisi BINADAMU ni maneno tu ya kufafanuwa ila NINI KINAFANYIKA ni siri yake ALAH....
 
Back
Top Bottom