Nani aliyemuanza mwenziye?

Nani aliyemuanza mwenziye?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari?

Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa?
 
Maku asee daag,l maisha heavy, thread upupu upupu
 
Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari?

Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa?
Na kuna ubaya gani CHADEMA nayo ikijibu mapigo?
 
Back
Top Bottom