Sharifu ni jina la vikundi vya vijana wanaotarajiwa kumwagwa na jiji la Mwanza mitaani kwa lengo la kuwapiga faini ya wale wote watakao bainika kuchafua mazingira. Uwe umetupa taka hovyo ama hujaweka mazingira safi utakamatwa na sharifu na kupigwa faini hiyo ya sh elfu 50 papo hapo. Ukigoma utapelekwa kunako sheria.
Source: Startv habari ya saa 2 usiku huu.
My take. Hii ni TRA nyingine inaingia kazini. Itaitwa Sharifu Revenue Authority. Tayari kuna ile ya adhabu za makosa ya barabarani...sote tunajua maumivu yake.
Serikali hii ni bunifu sana. Lkn huu ubunifu mbona siyo rafiki kwa mnyonge?