Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa ni siku 22 zilizopita tangu kuuawa kwa watu watatu wanaodaiwa ni majambazi eneo la Mbiku Charambe jijini hapa, polisi wamesema wameua tena watuhumiwa wanne Kata ya Toangoma wilayani Temeke...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Zamani ilifikia hadi baadhi ya wana CCM walikuwa wanamwandama Mengi. Angalia sasa ivi, habari kubwa ya press conference ya CHADEMA ambayo imeeleza vitu vizito ambapo kupitia taarifa zao za habari...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Ktk pitapita katika kutafuta furusa nimedhamiria kuingia katka hii bishara maana nishajiapanga kwa % kadhaa ushauri wenu unahitajika kwa mambo ya muhimu na ya msingi 1.pausterizer 2.cooling tank...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Ndugu zanguni habarini za asubuhi!!. Naam bila shaka wengi tupo salama na tunaendelea na majukum yetu ya kupush gurudumu la maisha kama kawaida, ni jambo la kushukuru. Najitokeza hapa kwa mara...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Chadema wamechanganyikiwa, hata KLM wenyewe wameanza kuishtukia na kuitosa kumuunga mkono Raisi wetu! Muro jichunge sana chadema wasikutundu lisu, hawa jamaa ni hitmen, Slaa anawajua ndo maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Basi hizo bangi zenu mvute kwa starehe yenu pekee msituletee mitusi yenu ya wapiga debe humu mnatuharibia hadhi ya jukwaa! Yaani kila Uzi hamchangii mpaka muweke neno pumbavu, mjinga mse.... n.k...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu. Mwanzo tulijua ni neema kwa wanafunzi kuchagua wenyewe vyuo wavipendavyo sasa imekua changamoto kwa watoto wa wakulima walioko vyuo private. Ilizoeleka kua suala...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Jamani wanafunzi wa UDSM hivi zile ID holders zinavaliwa kila sehemu uendako? Maana nakutana na wanafunzi hawa wanavaa hizi kila sehemu iwe Kawe, Mwenge, Kariakoo, Mlimani City hata Kigamboni na...
7 Reactions
139 Replies
23K Views
Tukio hilo limetokea hivi punde baada ya mtangazaji awali alipotangaza habari ya kwanza ya moto wa superdol alikuwa amevalia koti la pink na tai ya pink lakini ilipokuja habari ya pili akabadili...
8 Reactions
44 Replies
11K Views
*"WAKATI MWINGINE TUNALAZIMIKA KUJIFUNZA UKWELI KWA NJIA NGUMU, HATA KAMA TUMEHITIMU SHULENI"* *Kwa sababu kila mmoja anakabiliwa na kweli zinazotofautina na zile kweli tuzijuazo katika maisha...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu....Kupandisha mshahara ni wajibu wa kiweledi kwa mwajiri na si fadhila!..Ukikosa hekima utakusanya bila kupanda na kujifanya mtetezi wa rasilimali za watu huku ukiwafungia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja jina linahifadhiwa wa Hekima Nursery and Primary school iliyoko Mbagala Majimatitu, amebadilishiwa kitasa cha mlango na mwenye nyumba kutokana na kushindwa kulipa kodi kwa muda wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la polisi wilayani Uvinza mkoani Kigoma, linamshikilia askari mmoja kati ya wawili, kwa tuhuma za kumuua kwa risasi kijana mmoja Hamis Wales mkazi wa kijiji cha Mpeta kata ya mngaza wilayani...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Uswahilini kuna mambo mengi, nilichaniwa dirisha nikaibiwa simu zangu... Lakin kwa hili la leo sihami kamwee!! Leo mida ya saa 4 usiku nikiwa narudi zangu magheton, nimekutana na ugomvi wa vijana...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni kawaida siku hisi kusikia mtoto mdogo kabakwa au kapewa mimba. Vitu kama hivi ni nadra kuviona kwa viumbe wengine ambao sisi tunadhani kuwa hawana akili kutuzidi wanadamu. Lakini tukumbuke kuwa...
21 Reactions
30 Replies
5K Views
" Mfano wa watu wanaotumikia kuwazuia waovu wasifanye ufisadi katika nchi, ni sawa na mfano wa wasafiri walio katika chombo jahazini, wengine wakichukua nafasi ya juu katika chombo na wengine...
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka huu imetunukiwa kundi la kimataifa linalopigania kupigwa marufuku kwa silaha za nyuklia duniani. Kamani ya Nobel nchini Norway imesema kundi hilo limekuwa shirika...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi...? Jana katika kipindi cha XXL kuna dada mmoja mtangazaji alikua anaruka live kutoka mkoa wa Iringa, akiongea na kina Adam Mchomvu nimemsikia mimi mwenyewe yule dada akisema...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Estadio Hernando Siles ni Kiwanja cha mpira kinachopatikana Nchi Ya Bolivia iliyoko Bara la Amerika Kusini,Ukiwa umefunguliwa mwaka 1930 na ukiwa na uwezo wa kubeba watu 42000. Uwanja huu uko mji...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom