Mtaani na maeneo ya kazi yapo malalamiko kwa watumishi wa umma kuwa stahiki zao za madaraja, vyeo na madai yao, hawajalipwa mwaka wa 2 sasa. Je kura yako utawapa tena kwa wema huo????
Tajiri mmiliki wa ardhi ambaye pia amekuwa akisaidia wasiojiweza katika jamii, Mtawala wa Westminister Gerald Cavendish Grosvenor amefariki na kumwachia mwanawe Hugh Grosvenor urithi wa £9bn...
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye ongezeko kubwa la watu wenye ugonjwa wa akili ambao wataalamu wa afya ya akili wanasema unarudisha kwa kasi ari na ufanisi wa utendaji kazi na...
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya...
Jopo la madaktari bingwa 16 kutoka nchini Cuba hivi sasa watafanya kazi katika Hospitali ya Taifa ya Rufaa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.
Lengo la kuwepo kwa madaktari...
Habari za jioni wana harakati wa JF,
Kuna tetesi ambazo huwa nimezisikia muda mrefu kuhusiana na wana siasa wa kiafrika kutegemea zaidi waganga wa kienyeji ili kuweza kufanikisha kazi zao.
Hivi...
Muleba. Watu watatu wamekufa maji ndani ya Ziwa Victoria katika Kisiwa cha Ilamba wilayani Muleba baada ya mtumbwi kuzama.
Watu hao walikuwa wakitoka kuchota maji Kisiwa cha Mazinga. Mwili...
Huu mkutano wa NSSF wa wadau October, 2017. Usajili unaendelea
Je, Viongozi wa NSSF na wanachama watajadili changamoto za FAO La kujitoa?
Ujenzi wa Viwanda unatija au ni Mihemko wa kisiasa...
Kitendawili hiki ambacho jibu lake linanifanya kichwa kinigombe kiasi kwamba hata panadol haifui dafu. Kutoka hata tunaona mapato yameongezeka TRA imekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65...
Miaka zaidi ya 18 sasa toka baba wa taifa atutoke naukumbuka sana mwaka huo 1999 wakati radio tanzania ilipotoa tangazo la kifo chako yalikua ni majonzi ya hali ya juu kwa watanzania wote na watu...
Mimi si mashabiki wa matusi ya Mange Kimambi, angalau niweke wazi. Lakini naamini taarifa zake nyingi zina mandhari ya ukweli bila shaka. Kibaya ni lugha anazotumia kufikisha ujumbe wake
Okay...
Huu ujumbe hapa chini ni wa kitapeli na hauna uhusiano wowote na kampuni ya TMT ambayo inajishughulisha na mafunzo ya forex kwa sasa pamoja na kuwawezesha watanzania hasa vijana kujikwamua...
A bully is always a Coward
Cowards dies many times before their death
Empty vessels make the most sound
A bad workman blames his tools
A hungry man is an angry man
Civility costs nothing
The...
Ikiwa dunia leo inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali kuifuta adhabu hiyo.
Pia, Serikali na mamlaka husika zimetakiwa kufuta...
Tanzania ili ikuwe ni lazima mazingira ya kufanya biashara yabadilike kuna mambo ambayo yanachangia sana.
1. TRA kusumbua: TRA wamekuwa wasumbufu na wakati mwingi wafanyabiashara wadodowadogo...
Kama baadhi ya vyombo vya Habari vitakwenda kinyume na matamko ya Nevile Meena Jana vitachukuliwa hatua gani iwapo watatoa taarifa za Paul Makonda?
Sijajua Tamko hilo kuhusu vyombo vya Serikali...
Kumekuwa na watu wengi ambao uwasema vibaya wale wanaokunywa pombe. Lakini kwa uchunguzi wangu nimegundua wanywa pombe asilimia kubwa ni watafutaji, wana pesa, ni watoaji wazuri tu hata...
Mko Poa wana JF? Naamini mko poa.
Uwaga kila nikikatiza mitaa ya Lugalo navutiwa na umaridadi wa eneo lile. Kila siku asubuhi nikiwa naelekea job nawaonaga MP wakiongoza wanafunzi kuvuka...