TCRA: Mna taarifa na utapeli unao fanywa na Tigo kupitia huduma ya Tigopesa?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya TIGO.

Pamoja na hayo, kampuni ya TIGO kupitia huduma ya TIGOPESA wamekuwa wakifanya utapeli na ubabaishaji wa hali ya juu sana kwa watumiaji wa huduma ya tigopesa.

Mfano mzuri ni huu hapa kwangu. Siku ya tarehe 05 mwezi wa SABA , 2017 nilifanya muamala wa pesa kupitia TIGOPESA

Bahati mbaya, wakati natoa pesa, nilikosea namba moja na pesa ikatoka kwa wakala mwingine wa tigo. ( MESEJI ZOTE NINAZO )...

NILIPO WAPIGIA SIMU TIGO, WAKASEMA HIYO PESA WAMEIZUIA NA KWAMBA, ITAREJESHWA NDANI YA MASAA ISHIRINI NA NNE.

Baada ya masaa ishirini na nne kupita nikawapigia simu tena kuwauliza, wakaniambia suala lako linashughulikiwa subiri masaa ishirini na nne.

Yakapita masaa ishirini na nne bila kunirudishia pesa yangu.Nikawapigia tena. Wakaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa siku ya Jumamosi na kwamba ( HAWAFANYI KAZI KWA SABABU SIO SIKU YA KAZI )nikaambiwa nisubiri hadi siku ya Jumatatu.

Siku ya Jumatatu nilivyo wapigia simu,.wakaniambia tena nisubiri ndani ya masaa ishirini na nne. Baada ya masaa ishirini na nne hola,hawakunitumia pesa yangu.

Hali hii iliendelea kwa muda wa wiki mbili mfululizo.Ilifikia kipindi baadhi ya wahudumu wakawa wamenikariri, kila nikipiga simu na kujitambulisha, wananikatia simu....

Nilivyo ona watoa huduma ya TIGOPESA wananidanganya, nikaamua kwenda mimi mwenyewe makao makuu ya TIGO pale Kijitonyama..Napo wakaniambia, wanashughulikia tatizo langu niende watanirudishia pesa yangu ndani ya masaa ishirini na nne..

Nikarudi nyumbani , siku tatu zikapita bila kunirudishia pesa yangu...

Nikarudi tena ofisi za TIGO na kuomba kuongea na Meneja.. Wakaniambia Meneja hayupo... Nikawaambia nataka kuongea na msaidizi wake, nikajibiwa na yeye hayupo, wote wameenda kwenye kikao...

Nikiwa ofisini hapo, niligundua kuwa wenye tatizo kama langu wapo wengi sana na wote hela zao wametapeliwa na tigo pesa..

NINAWAOMBA TCRA MTUSAIDIE WANANCHI TULIO IBIWA NA KUTAPELIWA NA TIGO TUWEZE KUPATA HAKI YETU KWA WAKATI...
 
Lipeleke TCRA utakuwa umewasaidia wengi. Humu inaweza isisaidie. TCRA kuna mtu wa huduma kwa wateja.... lipeleke please.
 
Mkuu songa mbele pesa ngumu sana usiishie kuandika hapa tu hawa jamaa kweli wanazingua wakana ay na fa wanawadai huo usumbufu wake ni balaa
 
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya TIGO.

Pamoja na hayo, kampuni ya TIGO kupitia huduma ya TIGOPESA wamekuwa wakifanya utapeli na ubabaishaji wa hali ya juu sana kwa watumiaji wa huduma ya tigopesa.

Mfano mzuri ni huu hapa kwangu. Siku ya tarehe 05 mwezi wa SABA , 2017 nilifanya muamala wa pesa kupitia TIGOPESA

Bahati mbaya, wakati natoa pesa, nilikosea namba moja na pesa ikatoka kwa wakala mwingine wa tigo. ( MESEJI ZOTE NINAZO )...

NILIPO WAPIGIA SIMU TIGO, WAKASEMA HIYO PESA WAMEIZUIA NA KWAMBA, ITAREJESHWA NDANI YA MASAA ISHIRINI NA NNE.

Baada ya masaa ishirini na nne kupita nikawapigia simu tena kuwauliza, wakaniambia suala lako linashughulikiwa subiri masaa ishirini na nne.

Yakapita masaa ishirini na nne bila kunirudishia pesa yangu.Nikawapigia tena. Wakaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa siku ya Jumamosi na kwamba ( HAWAFANYI KAZI KWA SABABU SIO SIKU YA KAZI )nikaambiwa nisubiri hadi siku ya Jumatatu.

Siku ya Jumatatu nilivyo wapigia simu,.wakaniambia tena nisubiri ndani ya masaa ishirini na nne. Baada ya masaa ishirini na nne hola,hawakunitumia pesa yangu.

Hali hii iliendelea kwa muda wa wiki mbili mfululizo.Ilifikia kipindi baadhi ya wahudumu wakawa wamenikariri, kila nikipiga simu na kujitambulisha, wananikatia simu....

Nilivyo ona watoa huduma ya TIGOPESA wananidanganya, nikaamua kwenda mimi mwenyewe makao makuu ya TIGO pale Kijitonyama..Napo wakaniambia, wanashughulikia tatizo langu niende watanirudishia pesa yangu ndani ya masaa ishirini na nne..

Nikarudi nyumbani , siku tatu zikapita bila kunirudishia pesa yangu...

Nikarudi tena ofisi za TIGO na kuomba kuongea na Meneja.. Wakaniambia Meneja hayupo... Nikawaambia nataka kuongea na msaidizi wake, nikajibiwa na yeye hayupo, wote wameenda kwenye kikao...

Nikiwa ofisini hapo, niligundua kuwa wenye tatizo kama langu wapo wengi sana na wote hela zao wametapeliwa na tigo pesa..

NINAWAOMBA TCRA MTUSAIDIE WANANCHI TULIO IBIWA NA KUTAPELIWA NA TIGO TUWEZE KUPATA HAKI YETU KWA WAKATI...
Mkuu m mke wangu alipoteza cm ikiwa na elfu 50 mwaka jana wakat anarudisha line akawa amesahau wamemzungusha mpaka leo wamekataa kumsaidia kwahio imebid aache kuitumia kwa mambo ya pesa. Sielewi kwanini wako hivyo
 
Linapokuja suala pesa sijawahi kuwaamini Tigo, mbaya zaidi sijawahi kutumia huduma yao ya Tigo pesa.

Huwa nawaona kama watu wanaobahatisha tu.
 
Aisee mimi wangenibeba, mkuu ungeenda na land cruiser nyeupe tu ndio dawa yao halafu unaipaki sehemu ya wazi wakuone huku umevaa suti nyeusi yenye kibendera chenye nembo ya taifa hLafu unavaa zile earphones ambazo siku hizi hata kwa wamachinga unapata zina nyaya zimenyongorota hivi nyeupee
 
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya TIGO.

Pamoja na hayo, kampuni ya TIGO kupitia huduma ya TIGOPESA wamekuwa wakifanya utapeli na ubabaishaji wa hali ya juu sana kwa watumiaji wa huduma ya tigopesa.

Mfano mzuri ni huu hapa kwangu. Siku ya tarehe 05 mwezi wa SABA , 2017 nilifanya muamala wa pesa kupitia TIGOPESA

Bahati mbaya, wakati natoa pesa, nilikosea namba moja na pesa ikatoka kwa wakala mwingine wa tigo. ( MESEJI ZOTE NINAZO )...

NILIPO WAPIGIA SIMU TIGO, WAKASEMA HIYO PESA WAMEIZUIA NA KWAMBA, ITAREJESHWA NDANI YA MASAA ISHIRINI NA NNE.

Baada ya masaa ishirini na nne kupita nikawapigia simu tena kuwauliza, wakaniambia suala lako linashughulikiwa subiri masaa ishirini na nne.

Yakapita masaa ishirini na nne bila kunirudishia pesa yangu.Nikawapigia tena. Wakaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa siku ya Jumamosi na kwamba ( HAWAFANYI KAZI KWA SABABU SIO SIKU YA KAZI )nikaambiwa nisubiri hadi siku ya Jumatatu.

Siku ya Jumatatu nilivyo wapigia simu,.wakaniambia tena nisubiri ndani ya masaa ishirini na nne. Baada ya masaa ishirini na nne hola,hawakunitumia pesa yangu.

Hali hii iliendelea kwa muda wa wiki mbili mfululizo.Ilifikia kipindi baadhi ya wahudumu wakawa wamenikariri, kila nikipiga simu na kujitambulisha, wananikatia simu....

Nilivyo ona watoa huduma ya TIGOPESA wananidanganya, nikaamua kwenda mimi mwenyewe makao makuu ya TIGO pale Kijitonyama..Napo wakaniambia, wanashughulikia tatizo langu niende watanirudishia pesa yangu ndani ya masaa ishirini na nne..

Nikarudi nyumbani , siku tatu zikapita bila kunirudishia pesa yangu...

Nikarudi tena ofisi za TIGO na kuomba kuongea na Meneja.. Wakaniambia Meneja hayupo... Nikawaambia nataka kuongea na msaidizi wake, nikajibiwa na yeye hayupo, wote wameenda kwenye kikao...

Nikiwa ofisini hapo, niligundua kuwa wenye tatizo kama langu wapo wengi sana na wote hela zao wametapeliwa na tigo pesa..

NINAWAOMBA TCRA MTUSAIDIE WANANCHI TULIO IBIWA NA KUTAPELIWA NA TIGO TUWEZE KUPATA HAKI YETU KWA WAKATI...

Nilisha acha kutumia tigo kwa sababu hii.nenda TCRA watakusaidia na tatizo litatatuliwa Siku hiyo hiyo .
 
Utakuwa mwongo wewe;
1, Miamala ya tigo pesa iliyokosewa huwa inafanyiwa kazi ndani ya siku tatu yani masaa72
2, Pesa ikishazuiwa haiwezi kupotea kwani inakuwa neutral/hewani baina ya mtumaji na4 mpokeaji
3, Tigo haiwezi kukuibia ni issue tu ya mtandao au call center agent hakuizuia ikatolewa
4, Kwenye mtandao hela haiwezi kupotea kusiko julikana hivyo andaa taarifa zako vizuri kama tarehe ya muamala, kiasi, muda na namba uliyoitumia alafu kesho njoo Makubusho ukiwa na vitambulisho vyako vyenye majina yaliyotumika ktk usajili wa line yako.
 
Jambo usilolijua nikama usikuwa Giza tatizo sio Tigo ni tcra nenda utahamini jibu watakao kupa mi nimesha samehee baada ya kuambia kuwa ukikosea kutuma haitakiwi kuludishiwa kabisa
 
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya TIGO.

Pamoja na hayo, kampuni ya TIGO kupitia huduma ya TIGOPESA wamekuwa wakifanya utapeli na ubabaishaji wa hali ya juu sana kwa watumiaji wa huduma ya tigopesa.

Mfano mzuri ni huu hapa kwangu. Siku ya tarehe 05 mwezi wa SABA , 2017 nilifanya muamala wa pesa kupitia TIGOPESA

Bahati mbaya, wakati natoa pesa, nilikosea namba moja na pesa ikatoka kwa wakala mwingine wa tigo. ( MESEJI ZOTE NINAZO )...

NILIPO WAPIGIA SIMU TIGO, WAKASEMA HIYO PESA WAMEIZUIA NA KWAMBA, ITAREJESHWA NDANI YA MASAA ISHIRINI NA NNE.

Baada ya masaa ishirini na nne kupita nikawapigia simu tena kuwauliza, wakaniambia suala lako linashughulikiwa subiri masaa ishirini na nne.

Yakapita masaa ishirini na nne bila kunirudishia pesa yangu.Nikawapigia tena. Wakaniambia kuwa siku hiyo ilikuwa siku ya Jumamosi na kwamba ( HAWAFANYI KAZI KWA SABABU SIO SIKU YA KAZI )nikaambiwa nisubiri hadi siku ya Jumatatu.

Siku ya Jumatatu nilivyo wapigia simu,.wakaniambia tena nisubiri ndani ya masaa ishirini na nne. Baada ya masaa ishirini na nne hola,hawakunitumia pesa yangu.

Hali hii iliendelea kwa muda wa wiki mbili mfululizo.Ilifikia kipindi baadhi ya wahudumu wakawa wamenikariri, kila nikipiga simu na kujitambulisha, wananikatia simu....

Nilivyo ona watoa huduma ya TIGOPESA wananidanganya, nikaamua kwenda mimi mwenyewe makao makuu ya TIGO pale Kijitonyama..Napo wakaniambia, wanashughulikia tatizo langu niende watanirudishia pesa yangu ndani ya masaa ishirini na nne..

Nikarudi nyumbani , siku tatu zikapita bila kunirudishia pesa yangu...

Nikarudi tena ofisi za TIGO na kuomba kuongea na Meneja.. Wakaniambia Meneja hayupo... Nikawaambia nataka kuongea na msaidizi wake, nikajibiwa na yeye hayupo, wote wameenda kwenye kikao...

Nikiwa ofisini hapo, niligundua kuwa wenye tatizo kama langu wapo wengi sana na wote hela zao wametapeliwa na tigo pesa..

NINAWAOMBA TCRA MTUSAIDIE WANANCHI TULIO IBIWA NA KUTAPELIWA NA TIGO TUWEZE KUPATA HAKI YETU KWA WAKATI...
Hama mtandao pendwa
 
Manji anarudisha hela zake
 
Jambo usilolijua nikama usikuwa Giza tatizo sio Tigo ni tcra nenda utahamini jibu watakao kupa mi nimesha samehee baada ya kuambia kuwa ukikosea kutuma haitakiwi kuludishiwa kabisa
Kweli mkuu?majibu aya ulipewa wapi?Tigo au tcra?
 
Dah hivi jaman nyie huwa mnawaona tigo wako serious kabisa kiasi cha kuweka pesa zenu?..mi tigo huwa sioni kama wako serious na naona watumiaji wake wengi wanafunzi
 
Haki haiombwi kama chuvi mjomba, kwa vile mmeshakua zaidi ya mmoja, nendeni kituo cha polisi chukue kibari maandamano yaaze mara moja, tutawaunga mkono na naamini kwa vile hayatakuwa maandamano ya CHADEMA Dr.Kichwa mchongoko atamwambia Sirro aridhie kusimamia kwa weredi mkubwa.
 
Back
Top Bottom