Imeripotiwa kwamba, serikali imewaambia TUCTA kuacha siasa.
Binafsi, sioni usiasa wa TUCTA kwa hili, ila naona usiasa kuitaja CHADEMA kuhusishwa kusambaza hicho ambacho leo hii tunaaminishwa...
Jeshi letu la Polisi lipo kwa mujibu wa sheria. Kazi kubwa ni kulinda usalama wa raia na mali zake. Sina uhakika kama sisi raia tunaolindwa, tunahitaji kujua sana ukakamavu wao, au pengine na...
Ulichagua Topic nzuri sana juu ya miaka 18 bila ya Mwalimu katika kuzienzi tunu/nguzo/misingi ya taifa letu.
Tatizo:
Uchaguzi wa washiriki wake uliukosea. Si sahihi kumpambanisha Polepole na...
Mwalimu wa madrasa, Abdillah Sharifu, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 11.
Sharifu (30), mkazi wa Gongo la Mboto eneo la Moshi...
Zamani zetu (Wahenga), sana tulioishi vijijini hatukuogopa chochote zaidi ya waumiani. Wengi wenu sijui kama mlishalisikia Jina hilo. Usijali kua hujawaona mana hata mimi sijawahi kuwaona...
Mods, naomba msiunganishe uzi huu na ule mwingine wa kusudio la serikali kuvinunua vichwa vilivyotelekezwa bandarini.
Uzi huu ni wa watalaam kutoa maoni yao juu ya kufanya tathmini ya vichwa vya...
Najaribu kudhani kama kukiwepo na mikutaniko ya majeshi yote Dunia nzima kwa kutumia wawakilishi wao waliopitia mchujo.
Kuwepo na kitu kama Olympic ya kijeshi ambapo wanajeshi watachuana kwenye...
jana Krismasi, wateja walikwenda banki ya CRDB Tawi la Mlimani City wakiamini itafunguliwa saa 4 asubuhi na kufungwa saa 8 mchana kama tangazo lao mlangoni linavyosema siku za wikiendi na sikukuu...
October 2017
Trade Mark East Africa (TMEA) imeboresha mazingira ya kuwezesha biashara kupitia Electronic Payment Systems
Taasisi ya Trade Mark East Africa (TMEA), imepongezwa kwa kuiwezesha...
Bila kupoteza muda lengo langu ni kujua mazungumzo yamefikia wapi na kuna dalili chanya au hasi.Maana nilishtuka baada ya kukutana na malori yakitokea mgodini kakola yakiwa yamebeba vifaa...
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu ,nina uzoefu wa mwaka mmoja.Sasa najua humu kuna watu wengi wenye exposure na wanajua kampuni nyingi za kitanzania na za kigeni ambazo naweza kupeleka CV...
Wakuu,tokea nipigwe torch pale mataa ya jet kutokea airport nadhan nmepitiliza mda,so nw ni kupigwa faini tuu,sjajua naangaliaje kias nachodaiwa,maana last time nilikamatwa halaf nilipitiliza...
Wizara ya Madini kwa mara ya kwanza itafanya mnada wa madini ya Tanzanite kutoka kampuni nne za uchimbaji na biashara ya madini eneo la Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Kaimu Kamishna...
Nina maswali mengi najiuliza, lilikua uhakiki wa vyeti feki, wakawekwa hadharani, na kutimuliwa makazini, na sasa wanaingia uhakiki wa waliofoji umri, yaani waliopunguza umri, swali langu je kama...
Nimepata taarifa toka kwa wadau ambao walihudhuria kikao hicho kilichokuwa chini ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Masasi, kuwa walimu zaidi za 50 kutoka shule 10 wilayani humo waliitwa...
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir amewaagiza makatibu wa mabaraza ya BAKWATA katika ngazi ya mikoa kufanya sensa ya kubaini waislamu waliopo katika mikoa yao.
Mufti amesema kupitia...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume huru yenye nguvu ya kimahakama kwa ajili ya kuchunguza vifo, mauaji na mateso yaliyowahi kufanywa na...
Kama Imethibitishwa kuwa kuna watumishi elfu arobaini waliogushi umri, mnafanya uhakiki wa nini tena. Sio kwa vituko hivi!
Tunajua kizungumkuti kilichotokea kwenye kusaka watumishi hewa, halafu...
Habari wakuu, nimeona taarifa kutoka kwa Sheikh Mkuu wa BAKWATA akizungumzia saula la taasisi hiyo kufanya sensa ya waislamu nchini kwa nia nzuri kabisa. Sina shida na suala la kimaendeleo ila...