Msaada kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm


onkoko

onkoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Messages
502
Likes
460
Points
80
Age
30
onkoko

onkoko

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2016
502 460 80
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm. Mambo ya muhimu ni fursa zipi zinatolewa na Clouds Fm, kama kuna gharama yoyote Ile ya kuhudhuria kwenye conference hiyo na namna ya kupata maelezo kutoka kwa Clouds Fm moja kwa moja.
 
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
218
Likes
168
Points
60
Age
24
Lucky01

Lucky01

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
218 168 60
Ngoja waje wataalamu
 
marinji

marinji

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
326
Likes
286
Points
80
Age
30
marinji

marinji

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
326 286 80
Kuna mjadala wa fursa clouds tv live fuatilia kijana upate fursa nawaona ma DC wanafunguka
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,987
Likes
5,325
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,987 5,325 280
Wengi mnaishia kutoa viingilio na kununua DVD/vitabu vya waliofanikiwa bila kujua mabadiliko/mafanikio yapo ndani yako
 
Innocenthezron

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
400
Likes
461
Points
80
Age
23
Innocenthezron

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2016
400 461 80
Hizo ni fulusa kwao kwa kupokea viingilio na kuuza sidii na vitabu vyao pamoja na bizaa zao wakati mwingine...... Ila we kama kijana chakalikaa so lazima uende kwao elimu ni kila maali xahv
 
O

Owuor2452

Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
68
Likes
9
Points
15
O

Owuor2452

Member
Joined Feb 14, 2013
68 9 15
Wengi mnaishia kutoa viingilio na kununua DVD/vitabu vya waliofanikiwa bila kujua mabadiliko/mafanikio yapo ndani yako
That's not the problem. The problem is living the life which is not us
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,987
Likes
5,325
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,987 5,325 280
Ndo yale ya Mgombea urais wa chama fulani (jina kapuni) mwaka jana anawaambia vijana wakasome vipaumbele /ilani kwenye website ya chama.
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,606
Likes
4,329
Points
280
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,606 4,329 280
Hamna kitu ya dezo dunia hii
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,987
Likes
5,325
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,987 5,325 280
Vijana nao bila kufikiria wanaingia mkenge. Mpoto akakupe eti alifanikiwaje? Nooo
 
MEXICANA

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
850
Likes
580
Points
180
Age
33
MEXICANA

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
850 580 180
elimu,elimu,elimu,elimuuuuuuuuuuuuuuu!!! psuuuuuu!!! idiot people
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,987
Likes
5,325
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,987 5,325 280
Maisha magumu lakini tusijilegeze kwa kutegemea kila kitu toka redioni. Mengine tujiongeze wenyewe.
 
V

viwanda

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
699
Likes
744
Points
180
Age
33
V

viwanda

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
699 744 180
Hakuna fursa hapo fanya mambo yako wewe ni mtu mzima unasubili Niki wa pili akufundishe maisha .
 
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
7,111
Likes
9,261
Points
280
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
7,111 9,261 280
Wengi mnaishia kutoa viingilio na kununua DVD/vitabu vya waliofanikiwa bila kujua mabadiliko/mafanikio yapo ndani yako
Wanawapa fursa wenzao, hizo DVD na vitabu ni biashara kwa wajanja, vya darasani vilikushinda vya walimwengu ndo utaviweza!!
 
Innocenthezron

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
400
Likes
461
Points
80
Age
23
Innocenthezron

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2016
400 461 80
Na hao majamaa hawachelewi kukuambia ety alikua na mia mbili akanunu yai akaliuza mia nne akanunua mawili cjuh nn mpk xahv anamiliki matrilioni...... Ingekua hvo mbona ingekua laisi sana kuna watu wanauza ayo mayai miaka nenda ludi hawatoki we leo hii ukaanze na yai moja utoke
 
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
3,810
Likes
3,006
Points
280
Age
31
K

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
3,810 3,006 280
Clouds ni matapeli hakuna jipya wee jikomalie zako hao wanakuchota nyota ukanunue vi book vyao uendelee kulialia,hao kina mpoto wana nini cha maana sana mpaka wawe darasa kwa wenzaoo
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,987
Likes
5,325
Points
280
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,987 5,325 280
Vijana waliofanikiwa kupitia semina hizi jitokezeni
 
Hossam

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
2,964
Likes
717
Points
280
Hossam

Hossam

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
2,964 717 280
Mwingine alikurupuka akasema mkapande miti milioni moja muuze kila mti sh mia nne baada ya miezi sita mpate 400million. Kasahau gharama na changamoto lukuki nyuma ya mradi kama huo, Iringa napo kumepatwa...
 

Forum statistics

Threads 1,274,155
Members 490,601
Posts 30,502,958