Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Ukiangalia hakuna fani ambayo Waafrika tumebobea kama Sheria British Common law, maisha yetu yote yanazunguka hapa.
Hakuna Wanasayansi, hakuna Hisabati, hakuna Engineers lkn Wanasheria ni balaa wamejaa na ni wataalamu kweli kweli wa Utamaduni wa Muingereza, na hii haikuja kwa bahati mbaya kwani it’s by design Muzungu alifanya hivyo!
Sasa ni kwa nini? Kwa nini Muzungu hakujenga Universities zilizobobea kwenye mambo mengine labda Uchumi lkn akajenga na kuwekeza tu kwenye Sheria?
Ukiangalia wanaoibomoa Afrika ni Wanasheria, ukifwatilia uchaguzi wa Kenya utaliona hili, hata hapa Tanzania walishaanza huwo ujinga.
Nilichokuja kukiona ni kwamba hawa Wanasheria kwao ni michezo, ni kama wako field ndiyo maana kila siku wako Mahakamani tena wanawaambia watu wafanye fujo kwa makusudi hlf ,,tutakutoa” lkn nchi inasimama kwa ujinga wao!
Sasa ni kwa nini Muzungu aliwekeza sana kwenye Elimu ya Sheria?