Wasalaaam wana Jf
Mimi ni mkaazi wa mkoa wa kagera wilaya ya Bukoba vijijini. Kuna wahamiaji watatu raia wa Uganda wanaoishi kinyume na sheria za nchi. Kibaya zaidi ni tabia zao chafu wanazofanya...
Si vema sana mtangazaji wa TV kuwepo kwenye kipindi chako huku ukibeza vyama vingine ..
Nimeliona ili Leo kwenye kipindi cha 360 baada ya mtangazaji kumuuliza kiongozi wa act agenda yenu nn Yule...
Watu wengi wanaoishi vijijini wapo hatarini kupofuka kutokana na kushindwa kuhudumia afya zao kwa wakati.
Mratibu wa Kambi ya Macho mkoani Kilimanjaro, Mustafa Kudrat alisema wameamua kutoa...
Wakati Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, ikipokea taarifa za makosa ya rushwa 163 kwa mwaka wa fedha 2016/17, imeelezwa kuwa vitendo hivyo vitakwamisha lengo la...
Ni miaka miwili tangu Salome Ngoma (14) alipoondoka Itigi wilayani Manyoni kuelekea jijini Dar es Salaam kusaka tiba ya maradhi ya moyo.
“Nilipanda treni Desemba 26 mwaka 2015 nikiwa sijui...
Makutano yetu yalikuwa ni vichakani na alikuwa akinisubiri nikienda mashine kusaga na wakati nikitoka shuleni jioni
ndipo aliponilazimisha, nimekutana naye mara nyingi tu.”
Ni kauli ya mtoto wa...
mpwa wangu alikuwa na mkewe , dada yangu akamwambia lazima amuache vinginevyo ana lazi ya ya mama yake, tukamuliza kwanini akasema mkewe anamloga mwanawe, wewe umejuwaje mganga kanambia , ikabidii...
Nilikuwa tour last week ktk hiyo mikoa nilichokiona, sijawahi kuona mikoa yote ya Tanzania. siku ya kwanza nikiwa Lindi umeme umekatika zaidi ya mara 25, siku ya Pili nikaamkia kunako gas .nako...
Ni tofauti sana na tunavyokufa sasa hata wale tunaoamini ndo viongozi wetu wa dini hufa vifo vya machungu na mateso.
mwisho mwingi wa watumishi wa Enzi hizo ni akawa mzee akafaa baaasi. ata sijui...
Hamjambo.
Kwanini watanzania tumekua watu wakuiga kila kitu.
Je ni kwamba hatujikubali au vipi.
Mfano.
Mapozi ya picha.
Uvaaji na
Maadili mengine mabovu.
Kwann tusiige vitu positive...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwani naaamini wako wajuzi wa haya mambo.
Mimi ni mwanaume nimezaliwa tarehe 27/7 ningependa watoto wangu wote wazaliwe tarehe 27/7 kwa mwaka...
MAHAKAMA ya Hakimu Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, Mtandi Nassoro (24) mkazi wa Igunga baada ya kupatikana na hatia ya shambulio la aibu...
Nimefikwa na msiba wa mjomba wangu kipenzi Mr Mkumbo
Mwenye maduka ya Msua Pharmacy Mwanza.
Amepatwa na ajali ya kugongwa na gari maeneo ya Nyakato Mwanza akiwa anajaribu kuvuka barabara.
Ni mara yangu ya tatu sasa napimwa kwa kutumia hicho kipimo kipya cha haraka na kutoa majibu tofauti na baadae ukitumia cha zamani slides unapata ukweli,
Naiomba...
Kuna watu eti wame tumwa na kamishna wa ardhi kupima viwanja vya makazi eneo wanalo zikwa waisilamu Mbweni Malindi Estate. Wanasema Makonda ni mmoja wa watakao pata viwanja.
Wana plan inayo...
Binafsi nilikuwa muhanga wa kutopata usingizi haraka nikiingia kitandani, Ilikuwa nikiingia kitandani hapo ntasubiri masaa mawili hadi matatu ili usingizi unijie, Chanzo kilikuwa ni mawazo lukuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.