Kwanini watu wanaamini uchawi

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
307
316
mpwa wangu alikuwa na mkewe , dada yangu akamwambia lazima amuache vinginevyo ana lazi ya ya mama yake, tukamuliza kwanini akasema mkewe anamloga mwanawe, wewe umejuwaje mganga kanambia , ikabidii nishangae sana , ikabidii mjomba amuache mkewe ni mshirikina

niisikitika sana mzazi kuingia ndoa za watoto uchawi kwangu ni imani yako
 
Umaskini na kukosa elimu ndo tatizo kubwa mkuu,hata Mimi imenitokea nimeachana na wife kisa mganga ka mwaminisha kuwa Mimi namloga.
 
Back
Top Bottom