Baada ya kujisalimisha kituo cha polisi kwa wito wa Kamanda wa Polisi Dar es salaam , Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameeleza kuwa sababu ya kupekuliwa...
Wandugu umofia kwenu!
Kuna hii tabia chafu na inayoashiria dhahiri utovu wa ustaarabu kwenye security check-points za airports zetu mbalimbali, hususani kwenye nchi zilizomo kwenye ukanda wa EAC...
Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi. Sirro anasema msako unaoendelea kwenye nyumba za kulala wageni hauwalengi raia wema bali wale waharifu na wanaoshirikiana na waharifu kupanga njama za wizi na...
Wasalaam,,,Familia ya great Thinkers....
Kuna mambo huwa yananitatiza jamani,,nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na
vitu viwili,,,
1.feelings na utashi wa akili katka upambanuzi wa...
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Doroth Samson akizungumza na waandishi wa habari
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John Baptist iliyopo Boko Basihaya katika Manispaa ya Kinondoni...
Huwa nashangaa sana.
Kila guest Babati huwez kukosa Biblia ya kujisomea. Iwe guest house ya bei ya chini au laa lakn biblia huwa lazima iwepo.
Nini maana ya mji wa Babati kujawa na biblia kwenye...
Nimekutana na mtaalam kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Bwn KYANDO (NIT)akitoa mada ya waeendesha pikipiki , mengi amesema vizuri kasoro UVAAJI WA KANGOZI KIFUANI ETI KUKINGA UPEPO :
Kanuni...
Huwezi ukawekeza hela kwenye kujenga nyumba wakati nyumbani hawana hela ya kula. Huwezi kununua gari wakati huna hela ya kulilea gari. Sasa raisi wetu yupo teyari kuona wananchi wake wanashinda...
Mwenye hoja achangie maana sitaki kuleta siasa katika hili.
Hili neno litatimia na wengi tutakumbuka yale yaliyosemwa kwa muda mrefu. Hajawahi tokea, ila itatokea. Mkiona haya mjue mwisho wa...
Mods msiufute uzi huu wala kuunganisha na nyuzi nyingine ili kusaidia wakazi wa Mtwara.
Mgao wakutisha wa umeme unaendelea mkoani Mtwara. Kwasiku tatu sasa wilayani Masasi umeme hakuna kabisa...
Habari za asubuhi GT, kwanza naomba nitoe pole kwa familia,ndugu, jamaa na marafiki wote pamoja na watanzania kama taifa kwa ujumla kwa kupotelewa na wanajeshi wetu waliokuwa huko Congo. Mungu...
Kuna watu waanzisha magroup ya whatsapp na kufanya donation ya pesa kuanzia shs 10,000 ambapo mchangiaji analipwa 70% baada ya siku tatu. Lakini baada ya kuwa wamekusanya pesa ya kutosha...
Hivi unajua unaweza kupata kijiko au umma kwa shs 200 tu. Juzi nilikuwa na sherehe nikatumwa kwenda kununua vijiko na umma.
Sikuamini nilipopata vijiko vya shs mia 200.Hela niliyopewa kununulia...
Ninakerwa na hili wimbi la vijana hapa mjini unakuta kijana kavaa skafu ya sweta ina bendera ya Taifa kavaa shingoni wakati Jua kali.
Sasa sijui wao hawapati joto? Au ni ulimbukeni au ndo...
Habari zenu wadau.
Nina siku kama tatu tangu nimekuja shambani kwangu kwa ajili ya kuokota korosho. Nashukuru korosho zimezaa vizuri nimepata furaha kuangalia mazao yangu shambani.
Lakini pamoja...
WADAU HABARINI.
Napenda kupata ufafanuzi wa kisheria inapotokea Kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Wanasheria Tanzania(TLS) ANAPOSHINDWA kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Ufafanuzi Zaidi...
Kampuni maarufu inayotengeneza ndege za Bombardier mbili aina ya CS300 na moja ya Q400 kwa serikali ya Tanzania, imeuzwa rasmi kwa kampuni ya kutengeneza ndege ulaya inayoitwa Airbus kufuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.