goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 996
Hamjambo.
Kwanini watanzania tumekua watu wakuiga kila kitu.
Je ni kwamba hatujikubali au vipi.
Mfano.
Mapozi ya picha.
Uvaaji na
Maadili mengine mabovu.
Kwann tusiige vitu positive.
Mfano, innovations, technologies na ides zenye kuiwezesha jamii kupiga hatua.
Kwa upande wangu naiga positives things tu.
NB: MAWAZO HURU.