Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wadau, Hivi hii mitungi midogo ukiwa unaunganisha gesi ikikaribia kukaza ni kawaida kwa gesi kuanza kusikika kama inatoka na kupiga kelele..naomba mnijuze wadau uzoefu wenu kwa mnaotumia...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Naomba mnisaidie namna ya kufungua tovuti/website ya taasisi ya serikali au binafsi mfano shule
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Samahani wana jf toka mmheshimiwa akamate nnchi yetu, sijaona au kushuhudia kiwanda kikijengwa swali langu je, ni nnchi ya viwanda kwelii? Badala yake nyumba kuvunjwa, uhaba wa ajira kubadili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Munaonaje Tanzania kuwe na sheria za kuvaa nguo, kama mfano hasaa kwa wanawake iwe huruhusiwi kuvaa sketi fupi inavuka mapaja huruhusiwi kuvaa tight au leggings bilaa kuvaa kitu kinachoficha...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu. Kwanza napenda kuweka wazi kua mimi hua nakosoa pale ambapo siridhishwi napo, na nilianza kumkosoa Rais Magufuli akiwa bado mbunge na waziri na acha kumkosoa mitandaoni , ofisini kwake...
2 Reactions
7 Replies
977 Views
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) mbali na kupongeza uamuzi wa Serikali kuboresha mishahara ya watumishi wa umma, limesema lingeshirikishwa lingeshauri nyongeza hiyo isitangazwe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wana jf Kuna kitu huwa nakiona tu ila leo labda naweza pata ufahamu zaid kuhusu hizi chale . japo sina takwimu za kutosha lakini uwiano wa watu kuwa na chale ni wengi kuliko wasio kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Instinct ni uwezo wa wanyama kufanya kitu kinachowasaidia bila mafunzo ya awali, wala experience.. yaani unafanya jambo ambalo hujafunzwa kufanya, hujaambiwa ufanye na hujui ni kwa nini unalifanya...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Amani ya Mungu iwe nanyi wana JF.... Wakuu,kwa muda kidogo nimekuwa nikijisomea mambo yanayohusu fedha na uwekezaji. Wataalam mbalimbali wanazungumzia maeneo mbalimbali ambayo mtu anaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si...
5 Reactions
86 Replies
8K Views
Habari wakuu, Katika pitapita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na picha za tupu za mwanadada aitwae Sasha Kassim. Kwa masikio yangu mwaka jana niliisikia TCRA ikisena kuwa TCRA...
8 Reactions
282 Replies
68K Views
Moja ya vitu vinachonishangaza sana kuhusu USA, ni kuhusu Miji yao, unasikia Mji una jina kubwa na kujulikana Dunia nzima lkn ukiangalia una watu wachache tu, kwa mfano San Fransisco pmj na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hellooo, How are youu!! Wazimaa! Nadhani kila mmoja amejaribu kutumia mtandao wakijamii hususani FACEBOOK (wale wenye simu na interest hizo) Kuna mambo pengine uli post leo ukiyaona au ukiona...
6 Reactions
180 Replies
14K Views
MRADI wa ujenzi wa barabara ya juu (flyover) katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 58 na unatarajiwa kukamilika Oktoba mwakani. Flyover Tazara Naibu Waziri wa Ujenzi...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Mazungumzo haya popote yanapofanyika,iwe ni Magogonir,hotelini,n.k ni lazima yatahusiaha movement ya aina fulani either kama timu au hata movement binafsi za wajumbe wa majadiliano. Kama unaamini...
0 Reactions
4 Replies
908 Views
SONGWE: Watu 236 wamebainika kuugua ugonjwa wa Kipindupindu. Serikali kupitia Idara ya Afya imeahidi kuchukua tahadhali za ziada. Taarifa zaidi kukufikia hivi punde kupitia uzi huu.....
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Tangu asubuhi nilkuwa natizama tv, ila chakushangaza niii startv kuwa na vipindi vingi vya mahubiri.. Chakujiuliza je ndo tv inayo tizamwa na watu wengiii???? Au coverage yake nikubwa sana...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Damas Nyanda. Adam Mtembe (41) na mkewe Adalina Mtembe (39) wakazi wa kijiji cha Kasekese B Wilayani Tanganyika mkoani Katavi, wamekumbwa na mauti hayo usiku wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nimenunua kifurushi cha sh 2000 (dakika 40 mitandao yote sms 1000 na mb 20) bila kikomo, badala ya kupata sms 1000 kama maelezo ya kifurushi husika yanavyoonesha, nimepokea sms 100 tu. Huu ni wizi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom