Hili tangazo kila nikiliona nabadilisha channel na sijajua linawakilisha watu wa level gani kwani limekosa kila chembe ya seriousness na limejawa na triggers za kuporomosha maadili yetu.
I stand...
*.*c&p
Mweke CHURA kwenye kiti cha dhahabu utamuona ataruka aende kwenye tope hivi ndio baadhi ya watu walivyo, Namna utakavyomuinua atarudi mahala anapotoka….
Usimuudhunikie mtu...
Habari zenu wanajamii, kuna baadhi ya watu hubeza juhudi za serikali ya awamu ya tano ambayo no ya viwanda,lakini kimsingi tumepiga hatua sana tazama hiyo machine iliyotengenezwa na...
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?
Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
Tangu asubuhi wilaya nzima ya Meatu haina umeme.
Na kama haitoshi mpaka sasa hakuna dalili ya umeme kurudi.
Kuna mgao usio rasmi?
Mbona mnakata na kuwasha bila ya taarifa maalumu,na hii imekuwa ni...
Nina machache ya kuchambua hapa Jf kuhusu hiyo mada yangu Kwa siku ya Leo japo kwa uchache sana.!
Unaweza kujiuliza ni nini dhumuni langu?
lakini jibu la dhumuni hilo ni kushare japo machache tu...
Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na meno ya tembo yenye thamani ya Sh13 bilioni itaendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho, Oktoba 18, 2017.
Wakili...
Kumeanza mgomo wa Hiace za abaria Tanga leo. Madereva wote wa Hiace zinazofanya safari za Mjini kwenda Mikanjuni, Donge, Tanga Beach, Mwahako na Magomeni wameamua kugoma kutoa huda kwa kile...
Habarini za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu hivi mtu anaposema mimi anamaanisha nini.
Je ni mwili wake wote
Hisia zake
Ufahamu...
Mtwara. Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema fedha za posho kwa watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zitaelekezwa katika ununuzi wa mashine ili kuwezesha wananchi kupata...
Jana jioni kwenye kivuko cha Meli ya Nyehunge, Nansio, askari police Traffic walikuwa kama watatu wakiangalia magari yakiingia na kutoka kwenye kivuko. Cha kushangaza ikaja gari kubwa ya mizigo...
Pichani ni Mwl. Nyerere na mawakili wake waliokuwa wakimtetea katika kesi yake ya uchochezi.
Kama ambavyo George Washington na wenzake waliitwa magaidi na serikali ya kikoloni ya Uingereza...
Habari wana jamvi,
Nina rafiki yangu ni mjamzito, ila aliyempa huo ujauzito hajishughulishi kwa lolote, hatoi hata fedha kidogo wala kufanya lolote kuonekana anajali, sasa huyo bidada anajipanga...
Bado mapaka leo tarehe 17/10/2017 wana kitongoji cha kihilira kata ya bujugo bukoba vijijini ambao baadhi yao walichangishwa sh 20,000/=kupata umeme katika mpango wa awamu hii ya tatu jana...
yaani youtube ni kituko na ni masikitiko jamaa wanatafuta views kwa namna yoyote hatakama wanamchafua mtu hawaoni haya, je sheria za kimtandao hazifanyi kazi eti unakuta
imeandikwa title kama hii...
Habari za Jumamosi.
Prof. Mlacha (aliyekuwa DVC Udom) anamiliki Shule ya Sekondari Alikachenje uliyopo Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Hii shule kwa kipindi kirefu imekuwa ikiendeshwa kisanii...
Wanajamvi natumai wote ni wazima buheri wa afya, kwa wale wenye maswahiba mbalimbali Mungu awape wepesi.
Nimekuja na uzi huu kwa kujaribu kujiuliza kwanini jamii zetu zinapenda makelele sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.