Natural: Kama unataka kupata usingizi wa haraka fanya hivi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Binafsi nilikuwa muhanga wa kutopata usingizi haraka nikiingia kitandani, Ilikuwa nikiingia kitandani hapo ntasubiri masaa mawili hadi matatu ili usingizi unijie, Chanzo kilikuwa ni mawazo lukuki, kwa mfano naweza kuanza kuwaza biashara ya kufanya, nini ntachofanya kesho, kama nilikuwa na kitu nachokisubiri kwa hamu ama mkosi (mfano deni) unaonisubiri kesho ndo kabisa nilikuwa nachochea ysingizi kwa masaa manne.

Nilijaribu mbinu kibao kwa mfano kuiweka smartphone yangu mezani nikiingia kitandani ili nisiitumie, kuweka mziki laini, kukimbia kilometa nikiwa kitandani (wakubwa mnanipata) n.k lakini njia hizo pamoja na nyingine ambazo sijazitaja zilifua dafu.

Kuna siku nilienda kijiji fulani nje kidogo ya mkoa ndipo nilipokutana na mzee aliyeni fundisha hii dawa ambayo nikiingia kitandani usingizi unanipitia chap chap, Dawa ni kuweka kipande cha kitunguu swaumu kilichomenywa chini ya mto unaolalia na kama hupendelei kulalia mto basi kiweke chini ya shuka ulilotandika kwenye godoro sehemu unakowekaga kichwa ukilala.

Tangu nianz kutumia hii dawa haijawai kuniangusha, Nikiingia kitandani usingizi unakuwa chini ya maamuzi yangu na imenifanya niheshimu kwa kiwango kikubwa natural remedies.

N.B. USISAHAU KUMWOMBA MWENYEZI MUNGU KABLA HUJALALA
 
Kama huna shughuli zile za hapa na pale,fanya mazoez utapata usingz msuzi saana ukiegesha tu uo
 
Bila shaka pia kama una matatizo ya ' Kudindisha ' sana ' Mkuyenge ' wako basi ukiweka Kitunguu Swaumu nje ya Chupi au Boksa yako huko ' Kudinda ' kutaisha mara moja Mkuu au?
 
Back
Top Bottom