Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka, Zamani ungeonekana kituko...
3 Reactions
132 Replies
17K Views
Salaam,wana jukwaa kuna jambo linaendelea huku mkoa wa Tanga,ningependa kushare nanyi pengine kuna wanaofahamu kuhusu jambo hili, iko hivi kuna watu wanashirikiana na Nmb kuzunguka mkoa mzima...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunaishukuru serikali kwa kumaliza utata wa mgogoro wa makinikia , ambao ulisababisha makontena kukamatwa bandarini na kuzuiwa kusafirishwa . Sasa kwa vile makubaliano yamekamilika na Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400; kwakua dereva wa lisu pia yuko...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Walitaka wao ndiyo wayafanye haya ambayo Serikali yetu inayafanya leo hii, hapo ndipo kila kitu kilipo, hakuna kingine, kwa kifupi ni wivu tu, ni kama vile demu ukiona anakupigia kelele saana bila...
2 Reactions
2 Replies
735 Views
Yashangaza!! Tazama mwenyewe kilichomtokea huyu Fisi | Lion VS Hyena
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Geita. Vurugu kubwa zimeibuka katika Shule ya Sekondari Geita baada ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita kutishia kuchoma shule kushinikiza wenzao wanne wanaoshikiliwa na polisi waachiwe...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Watu wengi wamekua wakidhani kwamba maneno haya mawili yana maana iliyo sawa,la hasha, Kujifungua - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa...
3 Reactions
13 Replies
13K Views
Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Ashia Ismail kwa tuhuma za wizi wa watoto watatu Jijini Mwanza. Kamanda wa polisi mkoani...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Ofisi ya Msajili wa NGOs inapenda kuujulisha umma kuwa imesimamisha shughuli za Shirika la COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA).
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Katika kuonesha kukaidi maagizo ya waziri wa elimu Bi Joyce Ndalichako, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Bi Getrude Gimbana ameamua kuwahamisha walimu 55 kutoka shuile za sekondari kwenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki...
23 Reactions
48 Replies
10K Views
PETE HAILAZIMISHWI! Umeanza na mtu mahusiano! Wewe ni "mgeli" umejiachia weeee, ukagundua mwanaume yupo kimaslahi! Si ukaanza kumbania salamu huku unamlazimisha akuvishe pete! Mwanaume akakukata...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kihistoria mwanadamu alizalisha kila kitu alichokihitaji kadiri binadamu walivyokua wengi waligawanyika katika makundi kufuata rangi na lugha WINGI HUU NA TAMAA YA MAISHA MAZURI VIKAPELEKEA JAMII...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekua na wahitimu wengi wa shahada ya tourism and cultural heritage na shahada ya wildlife management pamoja na shahada forestry management wanaomba kazi kwenye kada mbalimbali za Tanapa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo Hongera...
62 Reactions
199 Replies
32K Views
Hii habari inazidi kutoa Mwanga wa kinachoendela kati ya Barrick Gold Corp ambaye ni mmiliki wa Acacia na Serikali ya JMTZ! ,,The government of Tanzania from now onwards will deal directly, as we...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Wakuu za asubuhi, Nimeamka leo asubuhi kivingine kabsa, nina afya tele namshukuru Mungu, nikajiandaa etc, nipo kwenye foleni nikawa naangalia nje naona jinsi watu wanavyohangaika kwenda...
24 Reactions
52 Replies
5K Views
Umekaa kimya sana Mzee Lowasa, ina maana baada ya yote haya yanayoendelea ndani ya Chama chako chadema, hauna hata la kitu kutuambia? Hii siyo kawaida, sema kitu, ongea chochote tu, hata mtakie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
" kwa hapa tulipofikia juu ya matibabu ya Mpendwa wetu Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu sasa tunaiachia Familia yake kuendelea na maamuzi mengine ya wapi apelekwe kwa matibabu zaidi na uratibu mzima...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…