Gharama za matibabu ya dereva wa Lissu zimefika kiasi gani?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,679
40,933
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400;

kwakua dereva wa lisu pia yuko huko na kwakua anapata matibabu kutokana na tukio lililomkuta lisu, sio vibaya ili kuweka rekodi sawa tukaambiwa kama tulivyoambiwa kwa lisu gharama za matibabu yake zinatoka Wapi na zimefika kiasi gani mpaka sasa,

au mchanganuo uliotolewa na mwenyekiti unajumuisha wote wakili?
 
Uliza kwanza wale ndugu zako wanao kufa kule bushi kwa kukosa pesa ya kwenda kutibiwa kwenye vituo vya afya.

wewe kuwa mjini na kumilili smart phone unajiona mjanja sana.
 
inaonekana unawashwa washwa wewe, hata senti hujachangia unahoji nini sasa?
 
Subiri mkuu, nimesikia muda si mrefu yeye mwenyewe TL ataweka kila kitu hadharani akiwa hukohuko Nairobi.

Mkasa wote kuanzia kufuatiliwa, tukio na waliohusika. Kutakua na vyombo vya habari vya kimataifa kurusha hiyo habari.

Tuvute subira
 
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400;

kwakua dereva wa lisu pia yuko huko na kwakua anapata matibabu kutokana na tukio lililomkuta lisu, sio vibaya ili kuweka rekodi sawa tukaambiwa kama tulivyoambiwa kwa lisu gharama za matibabu yake zinatoka Wapi na zimefika kiasi gani mpaka sasa,

au mchanganuo uliotolewa na mwenyekiti unajumuisha wote wakili?
Kwani wewe umechangia?
 
Bado anapatiwa matibabu ya kisaiokolojia. Bado hayupo vizuri kutokana na mshtuko wa kuona tukio la hatari sana maishani.
 
Naona unaandika ukiwa Mwezini.
 
Subiri mkuu, nimesikia muda si mrefu yeye mwenyewe TL ataweka kila kitu hadharani akiwa hukohuko Nairobi.

Mkasa wote kuanzia kufuatiliwa, tukio na waliohusika. Kutakua na vyombo vya habari vya kimataifa kurusha hiyo habari.

Tuvute subira
Utaua watu kwa pressure
 
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400;

kwakua dereva wa lisu pia yuko huko na kwakua anapata matibabu kutokana na tukio lililomkuta lisu, sio vibaya ili kuweka rekodi sawa tukaambiwa kama tulivyoambiwa kwa lisu gharama za matibabu yake zinatoka Wapi na zimefika kiasi gani mpaka sasa,

au mchanganuo uliotolewa na mwenyekiti unajumuisha wote wakili?
ningependa kujua kwanini michango kwani hawa watu hawakuwa na medical insurence? Dereve inawezekana hakuwa nayo. Lakini lisu ni lazima alikuwa na bima ya matibabu.
 
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400;

kwakua dereva wa lisu pia yuko huko na kwakua anapata matibabu kutokana na tukio lililomkuta lisu, sio vibaya ili kuweka rekodi sawa tukaambiwa kama tulivyoambiwa kwa lisu gharama za matibabu yake zinatoka Wapi na zimefika kiasi gani mpaka sasa,

au mchanganuo uliotolewa na mwenyekiti unajumuisha wote wakili?
We hizo Gharama Unazihitaji za nini kwani??
 
Bado anapatiwa matibabu ya kisaiokolojia. Bado hayupo vizuri kutokana na mshtuko wa kuona tukio la hatari sana maishani.
kwani gharama za kumtibu mtu aliyeshituka ni kiasi gani na matibabu yanaweza kuchukua muda gani?
 
Back
Top Bottom