Ni lini yale makontena ya mchanga yataondolewa bandarini ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,215
217,184
Tunaishukuru serikali kwa kumaliza utata wa mgogoro wa makinikia , ambao ulisababisha makontena kukamatwa bandarini na kuzuiwa kusafirishwa .

Sasa kwa vile makubaliano yamekamilika na Tanzania imejinyakulia ushindi mnono ni vema basi makontena yale yakaondolewa ili kuacha nafasi kwa ajili ya mambo mengine ya kimaendeleo .

Kutokana na kuongezeka kwa mizigo katika bandari ya DSM ni vema nafasi ikatumika vizuri .
 
"Ukiambiwa kilichomo unaweza kulia" by JPM.

Jamaa wanajichukulia makontena yao kiulaini kwa ahadi hewa, "In future we will form a partnership, a 50/50 partnership", which future hahahaa.

Wahenga walikuwa sahihi waliposema, "cha pombe huliwa na mgema".
 
Ishafikia hapo ?
 
Hivi kuna mgambo hapa?
Aa wote wanajeshi!
Taratibu bro,tukiondoa sa hivi yowe ya hapa utaikataa wanajeshi bado na makamanda wa JF wako macho. Usiambie mtu siri yako.
 
Hivi kuna mgambo hapa?
Aa wote wanajeshi!
Taratibu bro,tukiondoa sa hivi yowe ya hapa utaikataa wanajeshi bado na makamanda wa JF wako macho. Usiambie mtu siri yako.
Siri ya nini na mazungumzo yamefanyika ?
 
Back
Top Bottom