Figisu zooote za chadema, act &Co. ziko hapa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Walitaka wao ndiyo wayafanye haya ambayo Serikali yetu inayafanya leo hii, hapo ndipo kila kitu kilipo, hakuna kingine, kwa kifupi ni wivu tu, ni kama vile demu ukiona anakupigia kelele saana bila hata ya sababu yaani kila ukijaribu kufikiria sababu za ugomvi hauzioni ujue hapo ni wivu tu, hakuna kingine anafikiri unachepuka, sasa kumaliza ugomvi muhakikishie tu kwamba yuko peke yake, ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom