Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Habari wana jf, aliekuwa daktari bingwa wa mifupa dr. Baki amefariki dunia nyumbani kwake kibaha kwa mathias toka siku ya jumatatu.
Dr. Baki alikua anasumbuliwa muda mrefu na maradhi ambayo hayakuwekwa wazi, Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Ameni
Dr. Baki alikua anasumbuliwa muda mrefu na maradhi ambayo hayakuwekwa wazi, Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Ameni