Biko ya kina Mpoki yalipa kodi TRA kiasi cha sh. 2.1 bil kwa mwezi september

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,948
Kampuni ya Mobbet inayochezesha kamari ikiwatumia wasanii Mpoki na Kajala imelipa kodi ya sh 2.1 bil kwa kamari iliyochezwa mwezi September pekee. Hongereni wazee wa mikeka, Source ITV habari!!
 
Ongezea nyama basi
1) Ndio wanaoongoza kulipa kodi,
2) Ni kampuni ya Watanzania na
3) Wameanza pia kuingia kwenye kubet michezo mbali mbali
 
Hii michezo ya kipuuzi sijawai icheza, wanatumia kigezo cha hali ngumu tulionayo kutuadaa,MTU mmoja anakusanya pesa za watu zaidi ya elfu moja na kumgawia mmoja wapo miongoni mwa wachezaji zinazobak inakua Mali yake, itakua pia hii michezo nguvu za Giza zinatumika
 
Sehemu ya kwanza ya jibu lako ni uhalisi wenyewe wanaopoteza ndio wanaomlipa mshindi kwa ķiasi kinachobakia ni mali ha wenye mchezo
 
Hao Biko nahisi watakua wanatakatisha pesa(Money Laundering)

Umeshaambiwa ni michezo ya kubahatisha, na inafanyika kihalali kwa mujibu wa sheria, sasa unakuwaje na hisia za hovyohovyo. Kama huna unalilijua uliza uambiwe "akili ya mlevi siku zote haina uwezo wa kupambanua jambo" pole.
 
Hii inaleta picha ya kuwa watanzania wengi wanacheza kamali halali sasa, kweli mabhiko yaongezeke serikali ipate mapato.
 
Hii michezo ya kipuuzi sijawai icheza, wanatumia kigezo cha hali ngumu tulionayo kutuadaa,MTU mmoja anakusanya pesa za watu zaidi ya elfu moja na kumgawia mmoja wapo miongoni mwa wachezaji zinazobak inakua Mali yake, itakua pia hii michezo nguvu za Giza zinatumika
marekani pia kuna hali ngumu au its just a lottery mbona powerball husemi
 
Bado kodi za kamari zingine kama;
1. Tatu mzuka
2. Tusua mapene
Nazo watupe mrejesho wa kodi walizotoa ili tujue watanzania wanavyochangia kwa spidi japo wanalia sana hali ngumu
 
Back
Top Bottom