Mti mkubwa
Member
- Sep 2, 2017
- 27
- 21
Natambua kuwa muundo mbinu ni kitu cha msingi katika maendeleo ,swali langu ni hili kumekuwa na sintofahamu juu ya wapi Reli hiii inapitia kiasi cha kufanya watu wengi kuwa na wasiwasi wa kuendeleza maeneo yao sio tu yale ambayo yako karibu na reli ya sasa bali hata maeneo mengine ambayo yanasadikika reli kupita kwa maelezo ya watu wasio rasimi . Ombi langu naomba anae jua kuwa reli hii itapita wapi atujuze , na kama tayari kuna sketch ya eneo itakapo pita pia itakuwa vizuri, au mamlaka itujuze .Nawasilisha kutoka Morogoro.