Max Malipo wababaishaji

chiefkwanza

Member
Apr 16, 2012
26
24
5eb10c571d549a368ebade9f7a7f82aa.jpg

Hawa jamaa wameanzisha smartmalipo app ya android inayokuwezesha agent kufanya huduma za malipo kwenye simu yako ya kiganjani baada kuona mashine zao hazina soko tena.

Cha ajabu hajajajipanga wamekurupuka mnamo tar 17/0/2017 walikuja dukani kwangu kwa lengo la kuniunga na hiyo huduma.

At the end wakaniambia niweke hela kupitia vodacom mpesa iingie kwenye app yao ya smartmalipo ni kajaribu kuweka elf 10 kwenye voda imetoka lakini kwenye accont ya app smartmalipo haikuingia mpaka leo na nikiwapigia simu wakipokea wanasema kuna shida wanashughulikia.
 
Back
Top Bottom