Aisee... Kero namba moja ninayoichukia ni mabasi yanayoonesha movies tena hizi bongo movies.. Zinakudisturb mazima hata huwezi jisomea au hata kusinzia. Inanifanya nizidi kuzichukia hizi movies...
Wasalaam,
Hivi hii tabia ya hawa wanajeshi wa Tanzania kujichukulia hatua za kisheria mikononi ni nani aliyewapa? Au kuna sheria inayowaruhusu watoe adhabu za kidhalilishaji kwa Watanzania ambao...
Mzee wa upako asema kwamba hana muda wa kumwombea mtu anaye taka mke wake arudi kwenye himaya yake baada ya kuondoka kwake mda mrefu kwa maana mwanamke anaweza akarudi na magonjwa huko atokako...
Jamani hivi Chui ananguvu kiasi gani mdomoni, kama kwel anaweza akafanya attack ya namna hii na akambeba mamba akaondoka nae simba je??
Imenishangaza saaana
Habar zenu wana JF... Hiv kuna mwenye kujua labda nini chanzo cha katizo la umeme la mara kwa Mara.. Yaan hii imekuwa kero huku kwetu (Ilala msimbaz center) cku ya pili hii umeme Hatuna na hakuna...
Kwa kauli za kubomoa nyumba zote ambazo zimejengwa sehemu ambazo hazijapimwa na hazina vibali, purely Lukuvi is a dictator in the making!
Lakini kwa vile watanzania nao tumerogwa, hatujitambui no...
Upinzani wamekuwa na akili nyingi
Japo siasa wao wamepigwa marufuku tofauti na Ccm lakini najua mbinu kali wanazotumia upinzani hasa chadema nafikiri ni afadhali wangerhusiwa kufanya mikutano na...
Za j2 wakuu.
Nipo home mida hii najitathimini huku nikishirikiana na serikali ya kichwa changu.
Niende kwenye pointi ya msingi iliyonisukuma kuleta uzi huu.
Namshukuru Mungu kwa ulinzi wake...
Ni ngumu kuamini lakini ndivyo itakavyo kuwa lnshaaAllah. Sheikh Sudeis ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa.
Al-hikma Foundation inawaalika waisilamu na watu wote kuhudhiria Mashimdano Makubwa ya...
Wiki lilopita narud kutoka kwenye majukumu kama saa 11 jion hivi nakaribia nyumbani kwangu kabisa nikamuona mtu mmoja anaongea na dada wa kazi !basi nikashuka nikamsalimia ,alikua ni bibi wa kama...
Sina Nia mbaya wala kubeza ila nauliza serious. Labda ana makampuni au mashamba au hata kabiashara kadogo kakumuweka busy ukiondoa shughuli za Ubunge. Maana naamini mtaji atakuwa nao . Mwisho...
Kuna watu wenye juhudi sana ktk kazi lakini kuna watu wenye juhudi kuzidi wengine.
Wakati wafanyakazi wengine wakiibia serikali hasa muda wa kazi na hata kufanya mambo yao mengine wakati...
Zifuatazo ni tabia za Kiutendaji za Mabalozi wa nchi za nje wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania:
Wanatangaza tamaduni zao kwa nguvu zao zote
Wanatafuta masoko yatakayozifaidisha nchi zao...
Baraza la kiswahili Tanzania.
Jomoni,xaxa,vepee na maneno mengine mengine yanayoharibu lugha yetu nzuri ya Kiswahili sio kusema ni Rejesta wala Misimu ni vimaneno vya mtaani tu ambavyo havina...
Salaam wandugu,
Kusema ukweli kuendesha gari ndogo eneo la Mafinga si salama tena. Askari wa eneo hilo wanatabia ya kubambikia madereva tochi. wanapokaa (Mahakama) wanajifanya wametumiwa picha...
Wazo la kuanzishwa kwa Tanzanite City limetokana na tafiti nyingi tulizozifanya kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi iliyopita. Tafiti hizo zililenga kutufanya tujue wenzetu waliokuwa na ndoto kama...
GOOD HOPE SECONDARY SCHOOL,
INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2018,
Pia ina nafasi kwa kidato cha pili, cha tatu na cha nne.
NI SHULE NZURI NA YENYE...
Katika hayo magari ya jeshi la polisi yaliyozinduliwa leo mkoani Kilimanjaro, kwanza sijaelewa ushiriki wa moja kwa moja wa mkuu wa mkoa wa Dsm, badala ya waziri wa mambo ya ndani???
Pili swali...