Bakita hili ni jukumu lenu.

Bakita hili ni jukumu lenu.

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Baraza la kiswahili Tanzania.

Jomoni,xaxa,vepee na maneno mengine mengine yanayoharibu lugha yetu nzuri ya Kiswahili sio kusema ni Rejesta wala Misimu ni vimaneno vya mtaani tu ambavyo havina mantiki kabisa.

Nchi ikiwa kwenye Kampeni ya kufanya Kiswahili kuwa kati ya Lugha za kimataifa ni vyema nasi Kama raia wema tukaipenda lugha yetu.

Ni vizuri Bakita kukusanya maneno yote yasiyo na tija kwa lugha ya kiswahili na kuyapiga marufuku kutumika na kuwa na vipindi mbalimbali ya kuelimisha juu ya lugha ya Kiswahili.

Tuipende na kuienzi Lugha yetu ya Kiswahili.
 
Hahahaha et jomoni
afu haya maneno yote yanapendwa na wadada na kuna vidume wengine wapo wanaotumia
 
Back
Top Bottom