Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Katika hayo magari ya jeshi la polisi yaliyozinduliwa leo mkoani Kilimanjaro, kwanza sijaelewa ushiriki wa moja kwa moja wa mkuu wa mkoa wa Dsm, badala ya waziri wa mambo ya ndani???
Pili swali langu la msingi ni kwamba: KATIKA HAYO MAGARI, MHALIFU ANAKAA WAPI...???
Naona pembe zote tatu, kushoto, kulia na nyuma kuna siti za kukaa askari, na zimebanana. Sasa hao askari wakikamata mhalifu, wanamuweka wapi..??
Tulishazoea vile zilivyokuwa zamani jinsi wanavyomuweka kwa chini na wao kusimama kuhakikisha hakimbii. Sasa kwa jinsi zilivyo sasa, anakaaje?? Je, hatakimbia..??