Ni nini sababu inayowasukuma Wazungu na weupe kutubagua waafrika hasa weusi!?

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,723
2,000
Wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na Wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli.
Tuliona ubaguzi Afrika ya kusini na mataifa mengine hapahapa afrika yenye mchanganyiko wa weusi na jamii ya watu wengine,

Nchi za magharibi Amerika na ulaya vivyo hivyo hali ni mbaya kwa mtu mweusi, tatizo letu ni nini? Tuna nini kisichowafurahisha au kuwaudhi kwenye ngozi yetu!!

Nchi kama Urusi hali ni mbaya zaidi, ukipata simulizi za waafrika wishio Urusi jinsi wanyanyasavyo ni mbaya mbaya kabisa, waafrika wanajeruhiwa hata kwa vitu vyenye ncha kali kwa sababu tu ya ngozi yao!

Mbaya zaidi hata uzaliwe na mzazi mmoja mweupe na mwingine mweusi bado hali ni mbaya tu kwako.
Tuna nini sisi waAfrika!!? Tumekosewa wapi? Hapa afrika tunaishi na kila jamii kuanzia Wazungu, Waarabu, wachina, wahindi na jamii nyingi nyigine na hatuwabagui! Tuna nini sisi?

Kwa mnofahamu nini kinasababisha ubaguzi huu tufanyiwao nawaomba Elimu tafadhali, maana naogopa hata kusafiri!!.
 
cha'

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
466
195
Njia yao ya kujihami, mazingira duniani yanamfanya mwafrika anawiri zaidi ya wote, mpinzani mchina. Mchina pia hubaguliwa popote aendapo hata tz.
 
Dublin

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
1,116
2,000
wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli.
Tuliona ubaguzi afrika ya kusini na mataifa mengine hapahapa afrika yenye mchanganyiko wa weusi na jamii ya watu wengine,

nchi za magharibi amerika na ulaya vivyo hivyo hali ni mbaya kwa mtu mweusi, tatizo letu ni nini? Tuna nini kisichowafurahisha au kuwaudhi kwenye ngozi yetu!!

Nchi kama urusi hali ni mbaya zaidi, ukipata simulizi za waafrika wishio urusi jinsi wanyanyasavyo ni mbaya mbaya kabisa, waafrika wanajeruhiwa hata kwa vitu vyenye ncha kali kwa sababu tu ya ngozi yao!

Mbaya zaidi hata uzaliwe na mzazi mmoja mweupe na mwingine mweusi bado hali ni mbaya tu kwako.
Tuna nini sisi waafrika!!? Tumekosewa wapi? Hapa afrika tunaishi na kila jamii kuanzia wazungu, waarabu, wachina, wahindi na jamii nyingi nyigine na hatuwabagui! Tuna nini sisi?

Kwa mnofahamu nini kinasababisha ubaguzi huu tufanyiwao nawaomba elimu tafadhali, maana naogopa hata kusafiri!!.

sababu kubwa ni wivu! Chunguza kwa makini utaelewa na maanisha nini!
 
nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,818
2,000
Ni stori ndefu sanaaa.......ila kwa kifupi.........historia inaonyesha kwamba kizazi cha kizungu kinapotea hasa anglo saxons.......na mtu mweusi ni mgumu kiasi kwamba anaweza ku furahia maisha kwa zaidi ya miaka mia (licha ya kwamba tunapandikiziwa maradhi mbali mbali bila kujijua)........ Mzungu ni dhaifu ngozi zao nywele..........na pia wana wivu kwao hakuna kitu kulinganisha na afrika hasa maeneo anayotoka mwafrika mweusi ni ya rutuba na yana mali nyingi ambazo zinaweza kutufanya tuishi kama paradiso.........bila mwafrika mweusi hakuna maisha duniani ....believe me.......lazima watuchukie ili wao waweze kuishi na vizazi vyao.......mfano nchi ya uingereza ni ka kisiwa kadogo........kamesha jaaa.maeneo ya kupata riziki ni finyu...hivyo lazima watumie akili ya ziada ili kuishi ikiwa ni pamoja na kuuza lugha yao... Pamoja na ujambazi,utajiri wa uingereza asili yake ni uharamia katika meli za wafanya biashara waliokuwa wanatoka afrika.....rejea historia ya wafalme wa uingereza wa kina 'vi king'..........tushukuru mungu mzungu huyu huyu alitaka kutoa kizazi chote cha mtu mweusi kwa sababu wanazozijua kama walivyoteketeza kizazi cha red indians bara la amerika..lakini mungu ni mwema ..........tupo tunaishi and time will tell shame 2 dem.
 
Ikiwa ni wivu, mimi sioni wivu wa wazungu kwa waafrka, maana kwa udhaifu wetu Wazungu wameweza kutupora kila walichokuwa na shida nacho kutoka kwetu, na hadi leo bado wanaendelea kufanya hivyo: wanatupora mali zetu watakavyo kwa udhaifu wetu wa akili,
Ni juzi tu tumesikia hapa kwetu Tanzania Qatar Airways imeondoka na wanyama hai wa kutosha tu kuwapeleka Arabuni! Huu ni mmoja wapo tu wa jamaa watumiavyo ujinga wetu.
Sasa hapa sioni sababu ya wao kutuonea wivu sisi. Unamwonea wivu mtu mwenye kitu ambacho wewe huwezi kupata, sasa wao wakitaka tulivyonavyo mbona wanajichukulia tu, wivu unatoka wapi?

Ni kwa nini wanatubagua!!!
 
Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,503
1,500
Ngonepi unaniliza mwenzio Jaman loh, sijui tumekosa nini sisi kizazi cheusi
but ukija kwenye biology perspective we are better million tyms compare to them people!!!!
 
Last edited by a moderator:

Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
13,768
2,000
hata tuliowakaribisha hapa kwetu bado wanatubagua!
angalia wahindi/waarabu etc.
halafu tumejipendekeza tumewapa maeneo mazuri ya kuishi wakati wazawa wanateseka!
nenda nchi zao uone km weusi wanaishi kwa raha km wao walivyojiachia hapa km sio ujinga wetu ni nn?
halafu wana dharau sana hawa ....
 
eltontz

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
870
500

Ni hela zao ndio zinawafanya waishi maeneo mazuri ndugu...hata wewe unaweza ishi maeneo hayo. Tofauti ya kiuchumi ndo inaleta haya mambo. Tatizo biashara nyingi tumewaachia wahindi wafanye kila mji mkuu wa kila mkoa wa nchi hii kuna wahindi na waarbabu;hadi wilayani; they know where the monies are !
 
Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,723
2,000
ata matajiri weusi ubagua weusi masikin ilo mbona hamsemi

Hatuzungumzii ubaguzi wa kipato, ishu ya mweusi tajiri kumbagua mweusi maskini si ubaguzi wa rangi.
Hapa tunazungumzia kwa nini weusi tunabaguliwa?! Mtu mweupe hata ukimzidi kiuchumi bado tu yeye anajiona ni bora kuliko mweusi. Hivyo tunahitaji kujua asili ya ubaguzi huu ni nini?

Kuna ubaguzi wa aina nyingi duniani lakini unaguzi maarufu na hatari kabisa ni huu wa mwafrika anapobaguliwa na kila binadamu mwenye ngozi nyeupe!

Tumekosa nini, au tunakasoro gani kwenye ngozi yetu, kwanini wanatuita nyani hali wakifahamu kabisa kuwa sisi ni binadamu kabisa, kama ni mapungufu tunaweza kuwa nayo lakini ambayo kimsingi wao hayawaathiri chochote!!
Kwa nini wanatubagua!?
 
INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,003
2,000
sleeping giant..."The Kings sons and daughters from Nile waters
The first architect, the first philosophers, astronomers
The first prophets and doctors was
"
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,042
2,000
Kwa sababu sisi watu weusi hatuaminiki tuna ubinafsi, wizi, ufisadi ndio desturi yetu.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,555
2,000
Wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na Wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli.
Tuliona ubaguzi Afrika ya kusini na mataifa mengine hapahapa afrika yenye mchanganyiko wa weusi na jamii ya watu wengine,

Nchi za magharibi Amerika na ulaya vivyo hivyo hali ni mbaya kwa mtu mweusi, tatizo letu ni nini? Tuna nini kisichowafurahisha au kuwaudhi kwenye ngozi yetu!!

Nchi kama Urusi hali ni mbaya zaidi, ukipata simulizi za waafrika wishio Urusi jinsi wanyanyasavyo ni mbaya mbaya kabisa, waafrika wanajeruhiwa hata kwa vitu vyenye ncha kali kwa sababu tu ya ngozi yao!

Mbaya zaidi hata uzaliwe na mzazi mmoja mweupe na mwingine mweusi bado hali ni mbaya tu kwako.
Tuna nini sisi waAfrika!!? Tumekosewa wapi? Hapa afrika tunaishi na kila jamii kuanzia Wazungu, Waarabu, wachina, wahindi na jamii nyingi nyigine na hatuwabagui! Tuna nini sisi?

Kwa mnofahamu nini kinasababisha ubaguzi huu tufanyiwao nawaomba Elimu tafadhali, maana naogopa hata kusafiri!!.

Nimesoma michango ya wengi lakini karibu yote ni ya kujidanganya na kujifariji. Kwa kifupi kabisa binadamu hupewa heshima kulingana na mambo anayoyafanya. Chukua mfano wa technolojia, madawa na uvumbuzi. Hebu niambie ni waafrika wangapi wamefanya uvumbuzi kwenye hii nyanja? Karibu kila kitu kimeanzia Ulaya. Na sio kuanzia tu ila hata kuendeleza waafrika weusi hatuwezi. Matibabu tunashindwa hata kujitibu wenyewe mpaka tukimbilie nje. Chakula hatuwezi kujilisha wenyewe mpaka tungojee misaada kutoka nje. Kuongoza hatuwezi kujiongoza wenyewe mpaka tusibiri maelekezo kutoka nje. Na haya yooooooooooote yanafanyika huku tukiwa tunaishi kwenye lundo la utajiri wa madini, ardhi, misitu na vitu vingine viiiingi kabisa. Tutaheshimiwaje? Wamekuja watu weupe kutoka Ulaya na wameigeuza Afrika Kusini kama Ulaya na ikawa tofauti kabisa na sehemu nyingine Afrika. Wamechukuliwa waafrika weusi wakapelekwa Marekani lakini mpaka leo bado ndio mafukara wakubwa. Kwa kifupi wewe unadai uheshimiwe bila wewe mwenyewe kuonyesha kitu ulichokifanya ambacho kinakufanya udai heyo heshima. Huwezi kujisaidia katkati ya soko mchana kweupe halafu uheshimiwa.
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502

http://en.m.wikipedia.org/wiki/How_Europe_Underdeveloped_Africa
 
mzaramo

JF-Expert Member
Sep 4, 2006
6,340
2,000
wanatuona wajinga kwa sababu tulikubali kuacha mila zetu na dini zetu tukafata mila zao na dini zao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom