Nini kinafanya 'JET ENGINE' iwe na sauti Kali sana?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Baada ya Nyangumi kitu cha pili kinachofuata kwa kuwa na sauti Kali inayosafiri kwa umbali mrefu ni Jet engine
Ndege yenye engine ya jet huwa na sauti Kali sana ambayo inaweza kabisa kuharibu ngoma za sikio hasa zile engine za ndege za kivita(Jet fighter) ndege hizi zinaporuka zinatoa mlio mkali sana
Sasa wataalamu wa masuala ya engine naomba mnijuze ni nini hasa kinachofanya hizi engine zitoe sauti kali sana
Asanteni.
 
Back
Top Bottom