Kama kuna mahali akili haikutumika ni eneo la Jangwani.Kitendo cha hao makandarasi wa barabara ya mwendokasi kujenga eneo la kuweka hayo mabasi yao pale jangwani,ndo wamezidisha balaa kabisa.kama jana wameshindwa kutoka hadi kuja kuokolewa,sijui waliwaza nini kujenga ofisi zao pale.
Muombe mungu hayo yote yatatowekaKila mvua zikinyesha huu wimbo wa daraja la Jangwani hushika namba moja. Hii barabara ya Morogoro huenda ndio barabara inayopitisha magari mengi kuliko yoyote nchi nzima.
Kwanini barabara hii isiinuliwe kutokea fire mpaka mapipa?
Kwani mwaka jana hawakuwepo hadi useme hivyo.. mvua imekuwa nyingi tu..Kitendo cha hao makandarasi wa barabara ya mwendokasi kujenga eneo la kuweka hayo mabasi yao pale jangwani,ndo wamezidisha balaa kabisa.kama jana wameshindwa kutoka hadi kuja kuokolewa,sijui waliwaza nini kujenga ofisi zao pale.
Tatizo la Jangwani ni la miaka mingi. Haitoshi kuhesabu kuanzia mwaka jana.Kwani mwaka jana hawakuwepo hadi useme hivyo.. mvua imekuwa nyingi tu..