james marco
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 208
- 167
Nashangaa kwanini TCU haikufanya research kwa ajiri ya hii system. *TCU ilitakiwa kushirikisha wadau wa elimu kwanza ili kusudi tuone kama hiii system haita athiri upande wowote sasa hivi vyuo vinafunguliwa tar 30 lakini bado kuna vijana hawajui wanaenda chuo gani wala hawajapta muda wa maandalizi.
Sasa tunajiuliza hiii serikali ipo kwa ajiri ya wananchi wake au vipi kama serikali iliamua kufanya hivi kwanini isingeweka kwamba mwanafunzi a confirm kupitia TCU sababu hivi vyuo vingine vinafanya business so lazima vitawalazimisha tuu wanafunzi ku confirm *