Watanzania wengi kutofuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka kumechangiwa na nini?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kila kona ya nchi hii hukosi kusikia malalamiko ya kero mbalimbali lakini ukizichunguza na kuzifuatilia kiundani kero hizo utakuta chanzo ni wanainchi wengi kfanya mambo yao kwa kutofuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika.

Kwanini Watanzania wengi hufanya mambo yao kwa kutofuata sheria na taratibu hali ambayo inasababisha kero kila kukicha?

Hali hii imechangiwa na nini, elimu duni, umasikini, kutojali tu, au ndiyo maisha yetu?
 
inasababishwa na viongozi washamba na malimbukeni wasiouona umuhimu wa kutii katiba.

nyoka huzaa nyoka!!
 
tujiulize kwanza huko ulaya wanakofuata sheria walianzajeanzaje?

je enzi za wakina mkwawa, tulikuwa na tabia hizihizi au ziliibuka lini.

mtazamo wangu nadhani ilianza tulioamini suala la kujua sheria ni la wanasheria sio wananchi.
sheria ingeanza kufundishwa kianzia chekechea labda ingesaidia.

na wanasiasa wananafasi katika kucement tabia hii. kila kosa la kisheria lazima liwagawe wanasiasa kwenye pande mbili kinzani hata kama ni kosa au sio kosa kisheria.
 
Ushauri wako ni mzuri sana
 
Back
Top Bottom