sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Kwa mujibu wa utafiti Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa watu wanao amini katika ushirikina ambapo ni zaidi ya asilimia 80
Ikifatiwa na Rwanda, na Nigeria.
My take: Watanzania tubadilike
Cc mshana jr
Unategemea nini kwa nchi ambayo mshirikina (Sheikh Yahaya Husein) ana ita waandishi na kusema kuwa atamlinda Raisi wa nchi kwa Majini yake!? Na mshirikina huyo huyo alikuwa na kipindi Maalum Channel 10 kuelezea ushirikina na Majini!? Nchi ambayo wachawi wali ombwa walete muwakilishi wao wakati katiba ya nchi inatungwa. Nchi ambayo Baba wa Taifa alikiri wazi kuwa alifanya zindiko (ushirikina) katika harakati zake za kudai uhuru na pia nchi aliikabidhi kwa mizimu ili ilindwe? Nchi ambayo mwenge (kifaa cha kishirikina) kina pitishwa kila wilaya ili kupumbaza watu na kuwalogha ili wawe wavumilivu na wapole!? Mbaya zaidi mji mkuu wenye wasomi na exposure kubwa (Dar es Salaam) kila baada ya kona kuna kibao cha mganga wa kienyeji!? Na theluthi ya wananchi wana amini kuna majini (Demons) wazuri na wabaya!?
Kwa mujibu wa utafiti Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa watu wanao amini katika ushirikina ambapo ni zaidi ya asilimia 80
Ikifatiwa na Rwanda, na Nigeria.
My take: Watanzania tubadilike
Cc mshana jr
Hatimaye nimeongeza miaka 150 ya kuishi duniani, asante Yesu[/h] Started by K 4 LIFE, Today 10:54Kwa mujibu wa utafiti Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa watu wanao amini katika ushirikina ambapo ni zaidi ya asilimia 80
Ikifatiwa na Rwanda, na Nigeria.
My take: Watanzania tubadilike
Cc mshana jr
sumbai hizi tafiti zao hazina mashiko, wametumia vigezo gani?
sumbai ni sawa lakini hatuna hata shule au chuo au taasisi maalum ya mambo ya kichawi na kishirika wakati kuna nchi tena zenye tech kubwa mno wana vyuo na taasisi rasmi za Haya mamboHamna kaka kabla ya kukataa utafiti huu nadhan ungefanya tuu utafit wakawaida kwa kuangalia kiwango cha kawaida cha watu kuamini uchawi....
Tumeona katika siasa
Katika michezo
Mijini uwepo wa mabango ya waganga wa kienyej kila kona
Vitendo vya kishirikina vilivyo kithiri mf mauaji ya wazee, na albino
Shuhuda mbali mbali humu jf za uchaw na ushirikinA
Binafs naeza sema ni almost 65% ya watz wanaamin uchawi na ushirikina