greater G
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 308
- 218
Wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa mfuasi mzuri sana wa mtandao huu.
Hivi karibuni niliamua kujiunga na kifurushi pendwa cha HALICHACHI,ili kinisogeze siku mbili tatu.
Lakini cha ajabu muda wa kifurushi wanachokitoa hakiendani na uhalisia wa dakika ambazo mteja anatumia.
Kumbe ndio maana wateja wake wengi wanalalamika aisee.